BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 959
<br />Mume wangu ni mwerevu... Na ni the type aki cheat, ni kazi saaana me as a wife ning'amue hilo.... Sio mshamba kiasi kwamba naweza kuta such a message, hivo nikiikuta nitajua mtumaji ndio wale waharibifu.... na alikua na hope nitaiona... <u>Soln</u> kwangu itakua kuipotezea... ili nisimpe faida/furaha (mtumaji).... na kumwambia Mume wangu "Mpenzi acha kutoa number Ovyo... ona sasa hadi vichaa wanakutumia message"

Hilo varangati lake sijuhi nani atakuwa mwamuzi. Na nikipata bahati ya kumjua mtuma sms nae lazima nimshikishe adabu. Sina moyo wa busara aisee when it comes to MY MAN.

Mie nilikuta msg ya msichana yaani iliingia wakati natumia simu yake mara moja, nikaifungia kibahati mbaya, inasema nikusubiri aport au utanikuta home d? alikuwa anasafiri mwanza sijui alikuwa mtoto gani wa mwanza, nikauchuna coz jina nililijua baada ya dk chache kwa kutumia ile namba ya simu,nikampeleka aport, nikawa napiga kila saa kuona kama amefika, maana angani si hakuna network! ilipoita tu nikajua amefika, nikamuuliza mambo vipi, umefika salama? ..... umemkuta aport? alikata simu hapohapo, ilikuwa arudi kesho yake jioni, jioni ya siku hiyo nikamuona huyu hapa kaingia home, sikumuuliza wala nini mahaba kwa kwend mbele, kesho yake akanambia sorry ma zawadi maisha yakaendelea, mambo ya simu ni soo.... ndio nilikasirika sana ila sikutaka kugombana wala nini
Hilo varangati lake sijuhi nani atakuwa mwamuzi. Na nikipata bahati ya kumjua mtuma sms nae lazima nimshikishe adabu. Sina moyo wa busara aisee when it comes to MY MAN.
halafu ukimtukana itasaidia nini maana elewa kama sikio la kufa ...............
Dear Hny
sorry leo sitoweza kuja niko kwenye period jamani alafu si unajua na hasira zangu sijui hata kutakalika nikija
mbona ukunjulisha mapema kabla ya kuchukua chumba..sorry again
luv u
Hilo varangati lake sijuhi nani atakuwa mwamuzi. Na nikipata bahati ya kumjua mtuma sms nae lazima nimshikishe adabu. Sina moyo wa busara aisee when it comes to MY MAN.
Hii njia ni sahihi pia kwani kina sie usipokuwa mkali utaletewa mwenzio mpaka ndani.
Fight for your love.
Nikipata mke kama wewe maisha yatakuwa tambarare sana...hongera kama kweli upo hivyo rafiq.