Hata wiki 1 haijatimia mkuu!!
Hapo vipi kuna ndoa kweli??
Mamboz wana JF??
Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!
Utachukua uamuzi gani??!!
Sasa wote mkiwa bizzy itasaidia nini hapo??!!
I think hautakuwa umesolve tatizo!!
Mamboz wana JF??
Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!
Utachukua uamuzi gani??!!
Asiporeact, tayari unakuwa umepata data. Tafsiri yake you have no place in her heart yaani hata kufanya mapenzi na wewe huwa ni kwa sababu anamtii padre au shehe aliyewaunganisha. Hapo ni kutafuta mwelekeo mpya na kumwachia nafasi akalale na huyo chatmate wake na wewe utafute chatmate wa kulala naye. Believe me hakuna intermediate solution hapo.Yap nimekupata bulaza lakini twende na mambo yote mkuu,vipi asipo onesha rection yoyote??!!
What next??
Hapo umenena mkuu lakini jamaa aliamua kukaa kimya so alikuwa anamaanisha nini??!!
Au ndo mambo ya kuwekwa kwenye chupa o mapenzi matamu??!!
inakuwaje mkeo afanye kitu kama hicho halafu wewe ukae unamchekea tu kwa nn usimweleze kuwa hupendi ili aelewe kitu gani afanye na kwa wakati gani. Ndoa za siku hizi zimevamia na dot com wanaume wanakosa sauti na maamuzi mbele za wake zao ni ujinga huo, m/ume simama kama m/ume daima na komesha ushenzi kama huo mapema kwenye ndoa achana na ushauri wa wewe pia kuchukua simu na kuanza kuchat
inachotakiwa ni kila unapokuwepo m/ume na m/mke atambue anatakiwa kufanya nn mbele yako na vice versa kwa m/mke kwa m/ume
Mamboz wana JF??
Nauliza swali jamani,Inakuwaje upo na mkeo sumwhre faragha mnatalk nae wakati huohuo yupo bizzy na simu anachat muda wote!!!!
Utachukua uamuzi gani??!!
mmmhhh kwa kweli mlitakiwa kuanzia mwanzo muambiane
hakuna simu, hakuna lap top wala kitu chochote ambacho kinaweza ku haribu muda huo mtakatifu..
ni mimi na wewe tu muda huu..
au vipi???
ka ni mie ntamwacha tu ..
lakini akimaliza kuongea nta mwambia naomba hiyo iwe mara ya mwisho....
inakuwaje mkeo afanye kitu kama hicho halafu wewe ukae unamchekea tu kwa nn usimweleze kuwa hupendi ili aelewe kitu gani afanye na kwa wakati gani. Ndoa za siku hizi zimevamia na dot com wanaume wanakosa sauti na maamuzi mbele za wake zao ni ujinga huo, m/ume simama kama m/ume daima na komesha ushenzi kama huo mapema kwenye ndoa achana na ushauri wa wewe pia kuchukua simu na kuanza kuchat
inachotakiwa ni kila unapokuwepo m/ume na m/mke atambue anatakiwa kufanya nn mbele yako na vice versa kwa m/mke kwa m/ume
kuna ka ubwege flani huyu dada amekagundua kwa mwanaume wake. mwanamke hawezi kufanya uzembe kama huo mbele ya mwanaume rijali bana. huyo mwanaume inabidi aache kuizalilisha hii jinsia adhawaizi tutamvua uanachama.
Unaichukulia cimpo mtu wangu!!
Kweli utamuacha mumeo au hata msela wako achat muda wote wakti mpo garagha??
inakuwaje mkeo afanye kitu kama hicho halafu wewe ukae unamchekea tu kwa nn usimweleze kuwa hupendi ili aelewe kitu gani afanye na kwa wakati gani. Ndoa za siku hizi zimevamia na dot com wanaume wanakosa sauti na maamuzi mbele za wake zao ni ujinga huo, m/ume simama kama m/ume daima na komesha ushenzi kama huo mapema kwenye ndoa achana na ushauri wa wewe pia kuchukua simu na kuanza kuchat
inachotakiwa ni kila unapokuwepo m/ume na m/mke atambue anatakiwa kufanya nn mbele yako na vice versa kwa m/mke kwa m/ume
sasa we unadhani nikimpigia makelele ndo ataacha??
naye ni mtu mzima na akili zake..
anajua kufanya hivyo si vema kabisa..
ndo maana ntamwacha mpaka amalize ..akitaka aongee hata masaa 10..
lakini akimaliza tu ndo muda wakuongea na kuelezana ukweli..
kweli sioni haja ya kumnyanganya simu au kugombana kuhusu hilo....
kwa sababu hapa nadhani anataka kuona reaction yako ..
sasa we ukipiga kimya hata husemi kitu wakati ye yuko kwenye simu ..
baada ya muda atajiona yeye ndo mjinga...
Kwanza mtakuwaje mko faragha halafu simu ziko on?
unamaanisha anachati face book au unamaanisha kitu gani?
Mnataka kuzima simu ili mfiche madhambi??!!
Kama unajiamini acha simu on!!
Ni madhambi gani mnaficha kama ni mkeo? hivi ndugu unaelewa maana ya faragha wewe?
Sasa unataka kuzima simu ili iweje??!!
Faragha niliyoizungumzia mimi kwenye hii maada ni maongezi ingawa walikuwa kwenye
kifunction sumwhr kama mke na mume!!!
ungefafanua toka mwanzo kuwa ni faragha ya aina gani, umejaribu kupitia watu walivyokuwa wanakujibu? wengine wamesema angetoka nje then akifika huko anaanza kumtumia msg, Ungeeleza toka mwanzo ni aina gani ya faragha? Hivi mkiwa kwenye function somewhere hiyo nayo ni faragha au? What i know ni kwamba huwezi kuwa kwenye function ukasema hiyo ni faragha, kwa uelewa wangu ungetumia neno lingine na sio hilo.