kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)
Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.
N:B wakati huo Sent items nyeupeee.
honey

du,kwishney!
Dah! Kudadadekiii :shocked::A S 100:
sasa Mungu akusamehe kwani ni dhambi? si mtoto ashazidi miaka 18 man. mimi ni ticha wa primary thats y ni easy kuwanasa.. njoo tufundishe huku japo mishahara midogo ila ........sitagomapole sana kaka, kwani watoto wa age hiyo ya 18-19 ndo huwa hawaelewi kabisa hilo somo bora mtu mzima mtaongea kidogo na yakaisha!By the way, hivi nyani<abiziani> hivi vitoto vya age hiyo huwa mnavipataje, mi nimejaribu weeeeeeeeee lakini hola!(mungu anisamehe bure)
sasa Mungu akusamehe kwani ni dhambi? si mtoto ashazidi miaka 18 man. mimi ni ticha wa primary thats y ni easy kuwanasa.. njoo tufundishe huku japo mishahara midogo ila ........sitagoma
KakaJambazi umetoa kulingana na uzoefu??????????????Zima cmu, chomoa betri, msg huwa haiendi.
Pia funga mlango fasta kama uko wazi:lying:
kama ni mimi naforward hiyo msg kwa simu ya mshikaji then namwambia mshikaji anifowadie tena same msg, na anitumie msg nyingine inayosema SAMAHANI MKUU NILITAKA NIMTUMIE SHEMEJI YAKO HIYO NIMEKUTUMIA WEWE, SI UNAJUA TENA MAJINA YAMEFATANA, NIWIE RADHI, VIPI MAMBO MENGINE YANASEMAJE LKN? SHEMEJI HAJAMBO?)
Halafu namwambia mpenzi wangu nimekufowadia msg ya mshikaji kanitumia alikosea alikuwa anamtumia mpenzi wakei uone watu wanavyodanganya ktk mapenzi, hata akibisha nikifika home namuonyesha zile nilizotumiwa.
N:B wakati huo Sent items nyeupeee.
Hapo umesema FP.Ila Nyamayao alishawatahadharisha inategemea na mkeo yukoje. hamjastuka wanawake hawatoi stories hapa,ili msijue maujanja.Kuna issue unam-bamba mtu anakaa KIMYAAAA!manake hakuna hata pa kutokea.In the end of the day,kwenye hizo infidelations,its all about you9namaanisha your body,mind,and spirit). kupanga ni kuchagua!si zile sms zinaandika muda uliotuma? kama huyo mdada ana akili zake atagundua sms yake ilifika kabla wewe hujatumiwa zile zako. bado itakuwa imekula kwako
Hii ni simple.
Baada ya kujua kuwa umelikoroga unaweka DIVERT settings kisha unamwambia mshikaji wako kukupigia simu. Sasa ukifika kwa Bi mkubwa unamwambia kuwa uliweka diverts ili ukitafutwa na ndugu,jamaa na marafiki au ukitumiwa sms endapo cm yako itakuwa busy basi ziende kwake, lakini ulisahau kumtaarifu juu ya settings hizo.Wakati huo unamuonesha call kutoka kwa mshikaji wako kuwa alikuwa anakuomba samahani kwani kakosea kukutumia hiyo sms.
Hiyo imekaa vp? Lazima ieleweke hata ukizingatia kuwa wanawake wengi hawajishughulishi na kuzijua functions mbalimbali za simu zao!