klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
hahahaaaaa, aina ya EMSII kama huyu wa moshi hatufai kwenye shughuli yetu ya 13/02umeipenda eeh!TWENDE KAAZI.
kadri wanavyoimprove skillz zao sisi tunaingia maabara na kuja na mbuni mpya za kuwakabili!
kuna mmoja ''amemkatikia'' emsii wa moshi hadi kadedi.mbaya zaidi ni mke wa mtu
You are right! Hanemuni zitaishaje wakati kila siku tunadumisha mila?
hapo kwenye GUESTS hapooooooo!nguli na fidel80 WAMEWEKA KAMBICurrently Active Users Viewing This Thread: 40 (18 members and 22 guests) klorokwini, bht, carmel, Che Kalizozele, chimunguru, Dina, George_Porjie, Giroy, Kaizer, Kithuku, Lily Flower, MwanajamiiOne, Naniliu, Nyamayao, Raimundo, Triplets
hapa tunahitaji kidole cha sita aka ekstra finga kukabiliana na huu mjadala unaoonekana kupindukia spidi limiti. bht nimekumiss (acha nikuwahi kukusalimia kabla kawaif hakajarejea)
mtume mwamedi, JF virusi vimeingia nini??naona hayo ni manjonjo ya invisible
mbona QUOTING hazieleweki wajameni??, nashangaa nimejikoti mwenyewe, lols.
hahaaa afu MC alijidunga 'Valuuu 'kibao kabla ya game kumbe ndo anenda kujimaliza!!
Iribini watch out usije ukafia kwenye vifua vya wakina Eliza hahaaa!!!
Currently Active Users Viewing This Thread: 40 (18 members and 22 guests) klorokwini, bht, carmel, Che Kalizozele, chimunguru, Dina, George_Porjie, Giroy, Kaizer, Kithuku, Lily Flower, MwanajamiiOne, Naniliu, Nyamayao, Raimundo, Triplets
hapa tunahitaji kidole cha sita aka ekstra finga kukabiliana na huu mjadala unaoonekana kupindukia spidi limiti. bht nimekumiss (acha nikuwahi kukusalimia kabla kawaif hakajarejea)
Nyie mnapaswa kulea familia na sisi tunapaswa kudumisha MILA!Kaka imeandikwa wapi WOMEN ARE NOT ALLOWED? Wanaume waweze wananini na sie tushindwe tunanini?
we kwanza uliendaga wapi? happy new year nimekumiss mpaka nimekumisplace
hahahaaaa, nawasiwasi na wewe mkuu huenda Ukawa ni HE.Kaka imeandikwa wapi WOMEN ARE NOT ALLOWED? Wanaume waweze wananini na sie tushindwe tunanini?
NAAM!na kwakweli mtu kama huyu ''atakumbukwa daima'' kwenye hili kundi la vijana wa ki-mila......Nzi kufia kidondani ni ushujaa bana!
Hapana chimunguru hakuna tatizo bali tu nafurahi kuwa at least kuna wanaume dunia hii!! I just wish..................LOL
Mila za kitanzania mama. Babu yangu alikuwa na wake wa4 na watoto 56. Kati ya watoto hao 56 Tisa walizaliwa na wanawake tofauti ambao hawakuwa wake zake! Yu knoo woram seyying? Piga hesabu hapo! Ndio MILA zetu hizo!hizi mila za wapi wajameni? hapa hapa tz au ziko impotedi?
hahahahahaha!hahahaaaa, nawasiwasi na wewe mkuu huenda Ukawa ni HE.
huwezi ukawa na uthubutu wa kusema eti na nyie why mshindwe, umepata wapi ujasiri huu??
IT IS STRICTLY AND ABOMINATION FOR WOMEN KUDUMISHA MILA, over men dead bodies!!.
hapo kwenye GUESTS hapooooooo!nguli na fidel80 WAMEWEKA KAMBI
mtume mwamedi, JF virusi vimeingia nini??
mbona QUOTING hazieleweki wajameni??, nashangaa nimejikoti mwenyewe, lols.
hahaaa mi nilidhani may be am drank sioni vizuri (bt am veri soba hapa) bt naona iko poa sasa
Najua wanaume wengi wana kazi za nje(Nyumba ndogo na Videmu) ndo maana utakuta password za kumwaga kwenye simu au mtu anakuwa mkali kinoma na simu yake. Kwa nini niishi kwa tabu namna hiyo MJ1? na mke nilimpenda mwenyewe? kwa nini nimdanganye yule innocent wife? nikifikiria hapo kwa kweli nachanganyikiwa