Matumizi ya power bank kwenye simu

Matumizi ya power bank kwenye simu

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
1,265
Reaction score
1,092
Habari za siku ya leo wadau wa jukwaa pendwa la teknolojia na sayansi. Leo nimekuja na hoja nyingine ya matumizi ya power bank kwenye mobile devices kama simu na vitu kama hivyo.
Nimekuwa mtumiaji wa hizi smart phones kwa muda mfupi naweza sema na general experience yangu imekuwa ni poor battery performance kwa hizi simu.
sasa katika hili jukwaa nikakuta kuna hoja ya matumizi ya power bank na pia katika mizunguko yangu nikaziona power banks za mAh tofauti na bei tofauti. Swali langu ni kuwa:
1. Je hizi power bank zinatumika kama external battery mara tu baada ya battery lenyewe kuisha?
2. Je inabidi hadi kuzima simu kama unachaji kwa kutumia hiyo power bank?
3. Ni nini madhara (kama yapo) ya kutumia power bank kwenye device
Karibuni sana kwa michango yenu wadau nipate elimu juu ya hivi vitu kabla sijafanya maamuzi ya kuwa na hiyo kitu na pia najua watu wengine wengi wanaweza kuelimika kupitia michango yenu
Cc: CHIEF MKWAWA, WAHEED SUDAY, Young Master C6 na wengine wengi kabisa kwa ujumla wenu
 
Last edited by a moderator:
jana ndio nimeiona iyo power bank baada ya rafiki yangu mmoja kuniletea anauza. nilikuwa busy sikupata muda wa kumuuliza maswali kuhusu iyo power bank
 
ni device flan ambayo kwanza unaicharge inakuwa na moto. cm yako ikikaribia kuisha charge you connect inachajiwa mpaka inakuwa full. unaweza chaj mara 3 or 4 mpaka hiyo device iishe moto
 
zipo powerbank nyingi hivyo majibu yanaweza kuwa tofauti ila nitajibu tu standard.

1. sio lazima battery liishe ndio uchaji hata battery ikiwa nusu unaweza chaji likajaa tena.

2. sio lazima kuzima simu ili kuchaji na power bank

3. madhara ya power bank hakuna madhara special ni yale yale unayoyapata kwenye battery au chaja
 
battery-pack-charger.jpg
 
Unaposema kuwa zipo nyingi CHIEF MKWAWA wamaanisha trade marks tofouti au inakuwaje?? Ufafanuzi tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Ndivo alivomanisha chief. Na pia zimeanza kutengenezwa FAKE baada ya watu kuona zina market, ko ni kuwa tu makini ili usipate fake manake zinaua battery kabisa. Brand maarufu ambayo hata nchi kubwa wanatumia ni YOOBAO. Search google kwa hilo jina utapata maelezo zaidi.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Ahsante sana mkuu. Sasa natambuaje hizo fake power bank?
 
Habari za siku ya leo wadau wa jukwaa pendwa la teknolojia na sayansi. Leo nimekuja na hoja nyingine ya matumizi ya power bank kwenye mobile devices kama simu na vitu kama hivyo.
Nimekuwa mtumiaji wa hizi smart phones kwa muda mfupi naweza sema na general experience yangu imekuwa ni poor battery performance kwa hizi simu.
sasa katika hili jukwaa nikakuta kuna hoja ya matumizi ya power bank na pia katika mizunguko yangu nikaziona power banks za mAh tofauti na bei tofauti. Swali langu ni kuwa:
1. Je hizi power bank zinatumika kama external battery mara tu baada ya battery lenyewe kuisha?
2. Je inabidi hadi kuzima simu kama unachaji kwa kutumia hiyo power bank?
3. Ni nini madhara (kama yapo) ya kutumia power bank kwenye device
Karibuni sana kwa michango yenu wadau nipate elimu juu ya hivi vitu kabla sijafanya maamuzi ya kuwa na hiyo kitu na pia najua watu wengine wengi wanaweza kuelimika kupitia michango yenu
Cc: CHIEF MKWAWA, WAHEED SUDAY, Young Master C6 na wengine wengi kabisa kwa ujumla wenu

Power bank ni kama kutumia computer kucharge kifaa chako ingawa huwa powerbank zina current kubwa kuliko computer hiyo zina uwezo wa kucharge kifaa hadi kijae full kwa wakati tofauti na computer. Madhara yatakuwepo endapo unatumia powerbank inayotoa current kubwa kuliko hitaji la simu yako. Simu nyingi zinahitaji wastani wa 1A or 1000 mA na 5 Volts max.
 
Samahani kwa kuwa slow learner a bit ila tu ni katika kutaka kujifunza zaidi juu ya matumizi sahihi ya hii kitu na pia kwa usalama wa simu husika.
kwani unaweza kuchaji kwa kutumia hiyo power bank katika kuchaji simu huku let say wasikiliza muziki, kubrowse/kuchat wakati bado inakula mzigo (chaji)kama kawaida bila ya madhara kwa battery ya simu?
karibuni tena kwa michango yenu wadau.
 
Yap! Inaruhusiwa ila itachukua muda mrefu kujaa tofauti na simu isiyotumika au iliyo standby
 
Well, binafsi si mpenzi wa power bank kwa sababu ya ukubwa wa kifaa hicho na uzito wake. Instead I would recommend Battery cases ambazo zinafanya kazi sawa na power bank ila tofauti ni kuwa battery cases zenyewe unaivalisha kwenye simu yako kama cover. Mfano: Picha inayoonekana hapo chini ni battery cases ya iPhone 5S.

batterycase4-100048045-gallery.png
 
Ninavyofahamu battery cases zinakubali kwenye iphone. Sijui kuhusu simu zingine
 
Well, binafsi si mpenzi wa power bank kwa sababu ya ukubwa wa kifaa hicho na uzito wake. Instead I would recommend Battery cases ambazo zinafanya kazi sawa na power bank ila tofauti ni kuwa battery cases zenyewe unaivalisha kwenye simu yako kama cover. Mfano: Picha inayoonekana hapo chini ni battery cases ya iPhone 5S.

batterycase4-100048045-gallery.png

Mkuu na hizi battery cases hapa bongo zinapatikana? Bei zake je mkuu zimekaaje mkuu? nitashukuru sana kama nitapata mwongozo wa hii kitu Young Master.
 
Last edited by a moderator:
Kwa huku Bongo sijawahi kuziona ila ukiagiza nje unaweza kuipata kuanzia $108.

Mh!! sasa hapo mkuu hapo kwa sie ambao ni watumishi wa kawaida wa sirikali inabidi kubakia na hizi power bank zetu. maana hapa Posta kibongo bongo naona zipo kuanzia 60000/=. kwa hii bei kidogo naona kama ni affordable kwetu.
Ila all in all ahsante sana Young Master kwa mchango wako wako na kuendelea kunipa exposure za vitu nyeti kama hivi.
 
Last edited by a moderator:
Ndivo alivomanisha chief. Na pia zimeanza kutengenezwa FAKE baada ya watu kuona zina market, ko ni kuwa tu makini ili usipate fake manake zinaua battery kabisa. Brand maarufu ambayo hata nchi kubwa wanatumia ni YOOBAO. Search google kwa hilo jina utapata maelezo zaidi.

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums

Naweza pata hiyo powerbank wapi kwa dar na nitajuaje hii ni fake or original
 
Back
Top Bottom