Yes,Kingine naskia ukiwa ktk hali ya ulevi huwezi kutibiwa.
Ndio maana nimeacha kuzinywa hizo.. nife najiona hapanaSasa wanakutibu aje na uko na pombe? Ufariki?
Nadhani kama ilivyo ukiwa ktk dose/ matumizi ya dawa hairuhusiwi pombe, ndivyo itakavyo fanyika ukiwa na pombe
Biblia ya wakatoliki pekee27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.
28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
Kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
Wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
Wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni..
Kama wewe ni mkristo hiyo ni biblia inasema hivyo
Raha ya pombe Kuna mahali pake bwana!hapo lewaaa fanya unavyotaka...Sasa kwenye gari mara umsumbue dereva unataka kukojoa inasumbua raia Kwa ajili ya ulimbukeni tuumesema kitu ya maana sana,
ulimbukeni wa pombe unawafedhehesha na kuwadhalilisha
sana kwenye public...
Eti mareeefu 😀😀😀.Ila kaka kama kwako pombe haiswii kwanini usifokasi kwenye maji
Acha kupoteza muda wako kuanalaizi mareeeeeeeeefu kitu ambacho hauna mapenzi nacho. Hebu ashum ungeandika mareeeeefu hivyo kuhusu benefits of water
sure lazma ucheze muzuki kitasha zaidi, ule minyama amezingi, kiingereza iwe mingi, kushare upendo kwa kuwapiga offer rafik au wew kupigwa offer, ile peleka4 meza ilee....muulize anakunywa nin alafu mpe 4 n.kRaha ya pombe Kuna mahali pake bwana!hapo lewaaa fanya unavyotaka...Sasa kwenye gari mara umsumbue dereva unataka kukojoa inasumbua raia Kwa ajili ya ulimbukeni tu
Mie nakunywa kwa kuwapa wadau support ingawa nakunywa zile kali kama Vodka, nyagi, Kvant, JD na Heny.wangwana huwa wanasemaga nimepumzika kidogo kunywa pombe au nimesimama pombe kidogo....
Kuacha si Mchezo ukishaanza....
Hivi Kwa Nini siku hizi zimekuwa nne nne?🤣🤣sure lazma ucheze muzuki kitasha zaidi, ule minyama amezingi, kiingereza iwe mingi, kushare upendo kwa kuwapiga offer rafik au wew kupigwa offer, ile peleka4 meza ilee....muulize anakunywa nin alafu mpe 4 n.k
Huku tunakusindikiza na maneno ya kishujaa .Tajiri hana kona kona huyu.Simu moja tu tukutane benki.Hapo chui mweusi maokoto anashuka taratiiibu.sure lazma ucheze muzuki kitasha zaidi, ule minyama amezingi, kiingereza iwe mingi, kushare upendo kwa kuwapiga offer rafik au wew kupigwa offer, ile peleka4 meza ilee....muulize anakunywa nin alafu mpe 4 n.k
Mie sio Bonge mkuu.... athletic body morphology urefu ft 6.3mabonge mnazipenda sana izo vitu dry
😂sifaahamu huu utamaduni umeibukiwa wap siku za karibuni na umekua maarufu sana....Hivi Kwa Nini siku hizi zimekuwa nne nne?🤣🤣
Joshua mwana wa siraKit
Kitabu gani?
ata ndoa ya kuoa mke mmoja ni sheria ya wakatoliki,ina maana ata walokole wamefata sheria ya wakatolikiBiblia ya wakatoliki pekee
Ok....waprotentant hatuna Hilo kitabu,ila nilishawahi kukisoma nilikipenda pamoja na wamakabayoJoshua mwana wa sira