Matumizi ya mwezi huu

Matumizi ya mwezi huu

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
15,178
Reaction score
14,383
image001_thumb.jpg
 
jamani si aoe tu kupunguza matumizi yasiyo yalazima
 
The Boss ndio hivyo aise Nazjaz mhhh kuoa bado sana aise nataka nile raha kidogo Kulya hahahah umeona eehhh
 
Last edited by a moderator:
Ponda mali kufa kwajaaa.... Hahahahaa... Haka kamsemo bwana
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeee. uyu anapishana na mimi kidooooooooooooooooogo, iyo pesa ya wanawake achanganye kwenye pombe hapo tutakuwa sawa. drink beer to save water... chezea monde wewe
 
Hapo naona umesahau michango ya kijamii mkuu (Harusi, Misiba na kuchangia Chama chako cha Siasa
 
si awapunguzie hata hao ndugu wanaochoma nyumba za ibada na kuiba:eyebrows:
 

Watu wa namna hii huishia pabaya! hivi kwa nini upende malaya kuliko kujipenda mwenyewe? unashindwa hata kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo yako binafsi? toa hata mchango wa kujenga msikiti. Hawa huishia kuchoma makanisa yaliyojengwa na wanaojiwekea akiba na kujitoa kwa Mungu wao.
 
Back
Top Bottom