Matumizi ya mwezi huu

Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,178
14,349
image001_thumb.jpg
 
aiseeeeeeeeeeeeeeeee. uyu anapishana na mimi kidooooooooooooooooogo, iyo pesa ya wanawake achanganye kwenye pombe hapo tutakuwa sawa. drink beer to save water... chezea monde wewe
 
si awapunguzie hata hao ndugu wanaochoma nyumba za ibada na kuiba:eyebrows:
 

Watu wa namna hii huishia pabaya! hivi kwa nini upende malaya kuliko kujipenda mwenyewe? unashindwa hata kuweka akiba kwa ajili ya maendeleo yako binafsi? toa hata mchango wa kujenga msikiti. Hawa huishia kuchoma makanisa yaliyojengwa na wanaojiwekea akiba na kujitoa kwa Mungu wao.
 
Back
Top Bottom