Matumizi ya mwezi huu

Matumizi ya mwezi huu

Hii bajeti ni ya nani Mr Rocky???

Mhhhh aaahhh mhhhh aaahhh Dena Amsi kwani picha huoni hata maneno pia huoni
Nilikuwa napita tuu nikajikuta nimepiga picha

aiseeeeeeeeeeeeeeeee. uyu anapishana na mimi kidooooooooooooooooogo, iyo pesa ya wanawake achanganye kwenye pombe hapo tutakuwa sawa. drink beer to save water... chezea monde wewe
paty ni balaa aise
hiyo ya bia na hiyo nyingine si unajua inachanganywa pamoja

huyu tunafanana kabisa....ila tofauti yangu na yeye ni hapo kwenye prostitutes........
Preta sasa mbona sikuoni kwenye mambo yetu yale aise

Hapo naona umesahau michango ya kijamii mkuu (Harusi, Misiba na kuchangia Chama chako cha Siasa
MASKINIJEURI zote hizo zinaingia kwenye hayo mengineyo hata kama hazitatosha zinavushwa mwezi unaofuata

kwanini mnawalani wauzaji kumbe soko lina bajeti kubwa hivi?
madame x hakuna bana ni nyie mnatufanya tutenge budget kwa ajili hiyo unafikiri wasingekuwepo budget ingekuwepo

Hayo ndio matumizi sahihi kabisa ya ngawila wewe.
Dodoma one ni balaa aise

Mwazuka Bwanji Mr Rocky?
pmwasyoke mwangaluka
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh..! kakaaaa Mr Rocky hiyo ni noooumerr..! punguza apo kwa milupo mzee..!!!
 
Ningekuwa mie kwenye prostitutes ingekuwa Ujenzi, kwenye beer ingekuwa food,trnspt, rent na shopping na kwenye RF&T ningeweka saving.
 
teh teh teh teh..! kakaaaa Mr Rocky hiyo ni noooumerr..! punguza apo kwa milupo mzee..!!!
driller ni nomaa aise kupunguza hapo na kwenye biere
ila mwezi huu nitajitahidi mazee
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mie kwenye prostitutes ingekuwa Ujenzi, kwenye beer ingekuwa food,trnspt, rent na shopping na kwenye RF&T ningeweka saving.
Tuliwonda ngoja nitafanya utaratibu huo mkuu
at least niongeze category nyingine ya hayo na kupunguza vingine
 
Last edited by a moderator:
Nani kakundanganya wewe? Hapo ndio matumizi ya kishzi yanaongezeka....

hajui kuwa kuna nyumba kubwa na ndogo na ukishaoa sasa zile zinakuwa na matumizi makubwa zaidi
 
kipato kikiongezeka zinakwenda kwa B P hizo nyingine zinabaki kama zilivyo chezea starehe
 
Back
Top Bottom