Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,196
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YANALENGA KUPUNGUZA VIFO VYA WAMAMA WANAOPIKIA MKAA NA KUNI,
UTAFITI UNAONESHA KILA MWAKA WAMAMA ZAIDI YA 33,000 KILA MWAKA WANAKUFA KWAAJILI YA KUPIKIA KUNI NA MKAA WENGINE WAKIITWA WACHAWI.
==
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo na nishati hafifu ya mkaa na kuni kwa mwaka ni zaidi ya 33,000, au zaidi ya vifo vitokanavyo na UKIMWI nchini, Rais Samia agawa bure mitungi zaidi 452,445 ya gas kwa zaidi ya kaya 205,000 nchini kufikia 2024 ili kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi nchini.
WATANZANIA OKTOBA TUNATIKI ✅