Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

jamani bado anaiba tu mbona alizoa hela nyingi sana wakati anajenga nyumba yake hajarudisha lakini tena kazoa zingine huyu mzee wutu hatufai.
ulitaka aendeje mjinga we,kwa miguu?milion 19 nazo nyingi.Zito unajua alikuwa anachukua ngapi toka kwa akina mwigulu.Dola 250000 sawa naTsh 400000000.Yeye anapewa kuua cdm,lakini Dr hizo kiduchu anajenga chama.We gamba mhuni
 
Wadau, nimefanikiwa kupata waraka wa ndani ya CHADEMA kutoka katika chanzo changu ndani ya Ofisi ya Katibu Mkuu. Amini usiamini, wakati ofisi za CHADEMA zikiwa katika hali mbaya, Dr Slaa anatumia shilingi laki tatu (300,000) kwa ajili tu ya kununulia betri za Megaphone. Pia mdau wangu amenitonya kuwa Dr Slaa AMELAZIMISHA ziara hiyo iwe ndefu kwa lengo tu la kujiongezea posho. Hii hapa ni summary ya waraka huo.

Ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, DK WILBROAD SLAA katika mikoa ya Singida, Shinyanga, Kigoma na Tabora ambayo ilitarajiwa kuanza tarehe 3 Desemba 2013 na kumalizika tarehe 23 Desemba 2013 inatarajiwa kugharibu shilingi Milioni 19,833,300/=. Gharama hizo ni pamoja na posho ya Dr Slaa (80,000 x siku 22 = TSH.1,760,000), posho kwa wana timu 7 (40,000 x siku 22 x watu 7 = TSH.6,160,000), mafuta kwa ajili ya magari 3 (lita 2071 x 2300 = TSH. 4,763,300), vikao vya ndani 19 (TSH. 1,900,000), posho ya waandishi wa habari na watangazaji wa ITV, Nipashe, Mwananchi, Star TV na Tanzania Daima (TSH. 4,550,000), matengenezo ya Gari la ALLAN (TSH. 730,000), Batery za Megaphone ya Katibu Mkuu (TSH 300,000) pamoja na Dharura na Uratibu (TSH. 450,000).

MAMBO YA KUZINGATIA
Katika ziara hiyo, Dk Slaa atazungumzia mambo yafuatayo;

  1. Mambo yaliyoibuliwa na CAG ambayo taarifa zake zitajadiliwa bungeni
  2. Ripoti ya CHC kuhusu ubinafsishaji wa makampuni
  3. Ripoti maalum ya uchunguzi wa Spika kuhusu posho za wabunge
  4. Posho ya Kamati Maalum za Bunge
  5. Harufu ya ufisadi kwenye mradi wa maji Singida

Kuhusu suala la usalama wakati wa ziara hiyo, imeelezwa kuwa kuna harufu imenuswa ya magenge ya wahuni kuandaliwa na wale marafiki zake ZZK walioko Usalama ili waanzishe vurugu. Kwamba wameandaliwa kwa silaha za moto, baridi na vimiminika (tindikali). Kwamba, wakitumia mwanya huu, haraka dola itasema tukio hilo ni sehemu ya mgogoro wa uongozi ndani ya CHADEMA kwamba kuna watu hawajafurahishwa na kitendo cha ZITTO kuondolewa madaraka. Mytake, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi ya mikoa na wilaya kuwa uongozi wa chama hicho makao makuu umekuwa ukiibua mbinu nyingi za kujipatia posho huku ofisi za mikoa na wilaya zikiwa hohehahe. Shilingi milioni 19 ambazo zitatumika wakati wa ziara hiyo zingeweza kuwa na manufaa zaidi kama zingeelekezwa kuimarisha chama badala ya kutumika kukagua uhai na uimara wa chama ambao Dk Slaa anajua kuwa chama bado hakijawa Imara. Aidha, kitendo cha CHADEMA kupindisha ukweli kuhusu hofu ya kutokea vurugu wakati wa ziara hiyo kwa madai kuwa eti Usalama ndo wameandaliwa kufanya fujo ni ulaghai mkubwa wa kisiasa. Sote tumeshuhudia jinsi ripoti ya Mkoa wa Kigoma ilivyotahadhalisha juu ya ziara hiyo kutokana na wafuasi wengi na wapenda demokrasia kupinga maamuzi ya CC ya CHADEMA yaliyowavua madaraka ZITTO KABWE, DR KITILA MKUMBO na SAMSON MWIGAMBA. Pia tumeshuhudia Dr Slaa akitahadhalishwa juu ya kukanyaga ardhi ya Mkoa wa Singida.

View attachment 125003View attachment 125004View attachment 125006View attachment 125007

Hopless kabisa... Sasa hapa gharama za kutisha ziko wapi??? Kazi bado sana tunayo.
 
Chadema kama imesafiri na waandishi wote hao, kwanini hawaleti picha?

Hizi pesa za waandishi kuna magumashi ndani yake. Kwanza the fact kwamba mwandishi analipwa elfu 50 wakati mwanamsafara wa chama analipwa elfu 40 ni TOO suspicious...
 
Ha ha ha, mnajaribu lakini wapi. Hivi kweli mnataka kutuambia huu ni ufisadi? Kuna usemi wa kiingereza usemao A picture speaks a thousand words. Wadau hebu tuziangalie hizi picha halafa tujiuliye nani fisadi hapa. Landcruiser za millioni mia mbili na ushee zimepangana kwenda ketumbelea watu wasio na maji, umeme, shule n.k.

kinana.jpg 120.jpg
 
Watanzania msitegemee kuletewa maendeleo na mtu . Huyu padri ana mtoto wa mwaka mmoja na amataka amjengee future! Hata nyerere alituhumiwa na wasomi wa miaka hiyo kuwa na mshahara wa kifisadi mpaka akaamua kuupunguza. Binadamu yeyote anayetamani kutawala anapenda na maisha mazuri. Kama urais ungekua ni kazi ya kubeba zege hakuna msomi angeutafuta. Urais au ungozi wa kidunia sio kufia au kuteseka kwa ajili ya nchi. Acheni padri slaa ale matunda yake ya uongozi almradi atimize malengo ya ziara ya chama.
 
Ale kabisa lakin sio kujifanya eti anataka kua rais na kuwakomboa maskin wakati yeye mwenyewe fisadi na cdm famiy yaoo
 
Weka ya mzee wa tembo na timu yake tuone...ama kweli dr slaa na chadema ni mwiba mkali mno na mchungu sana kwa magamba na policcm.
 
mwaka huu mtapata BP kwa sababu ya dr Slaa
sasa post yako inatusaidiaje sisi watanzania?
wale mafisadi,waua tembo,epa, fedha za misaada zimeliwa,ubadhirifu wa fedha serikalini
mbona hamuibui na kuweka hapa JF? ishu ya dr slaa haina tija kwetu sisi watanzania.
Hivi yule kiongozi aliejipatia mamilion kwa ziara ya JK mmemfanya nini?
Hivi yale mabilion yetu mkayaita ya JK yameenda wapi?
Zile fedha mlizogawana na kumtoa kafara Liyumba mmezifaidi??
acheni upuuzi nyie maCCM
ohhhh bora niomboleze kifo cha madiba.
 
wewe dada Chabruma,

Pole saana dada yangu kwa majungu. yaani pole saana. hata hujui kuyapangilia. umbea utakufanya uachike. utakuwa unakunwa na ...mkono

Wadau, nimefanikiwa kupata waraka wa ndani ya CHADEMA kutoka katika chanzo changu ndani ya Ofisi ya Katibu Mkuu. Amini usiamini, wakati ofisi za CHADEMA zikiwa katika hali mbaya, Dr Slaa anatumia shilingi laki tatu (300,000) kwa ajili tu ya kununulia betri za Megaphone. Pia mdau wangu amenitonya kuwa Dr Slaa AMELAZIMISHA ziara hiyo iwe ndefu kwa lengo tu la kujiongezea posho. Hii hapa ni summary ya waraka huo.

Ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, DK WILBROAD SLAA katika mikoa ya Singida, Shinyanga, Kigoma na Tabora ambayo ilitarajiwa kuanza tarehe 3 Desemba 2013 na kumalizika tarehe 23 Desemba 2013 inatarajiwa kugharibu shilingi Milioni 19,833,300/=. Gharama hizo ni pamoja na posho ya Dr Slaa (80,000 x siku 22 = TSH.1,760,000), posho kwa wana timu 7 (40,000 x siku 22 x watu 7 = TSH.6,160,000), mafuta kwa ajili ya magari 3 (lita 2071 x 2300 = TSH. 4,763,300), vikao vya ndani 19 (TSH. 1,900,000), posho ya waandishi wa habari na watangazaji wa ITV, Nipashe, Mwananchi, Star TV na Tanzania Daima (TSH. 4,550,000), matengenezo ya Gari la ALLAN (TSH. 730,000), Batery za Megaphone ya Katibu Mkuu (TSH 300,000) pamoja na Dharura na Uratibu (TSH. 450,000).

MAMBO YA KUZINGATIA
Katika ziara hiyo, Dk Slaa atazungumzia mambo yafuatayo;

  1. Mambo yaliyoibuliwa na CAG ambayo taarifa zake zitajadiliwa bungeni
  2. Ripoti ya CHC kuhusu ubinafsishaji wa makampuni
  3. Ripoti maalum ya uchunguzi wa Spika kuhusu posho za wabunge
  4. Posho ya Kamati Maalum za Bunge
  5. Harufu ya ufisadi kwenye mradi wa maji Singida

Kuhusu suala la usalama wakati wa ziara hiyo, imeelezwa kuwa kuna harufu imenuswa ya magenge ya wahuni kuandaliwa na wale marafiki zake ZZK walioko Usalama ili waanzishe vurugu. Kwamba wameandaliwa kwa silaha za moto, baridi na vimiminika (tindikali). Kwamba, wakitumia mwanya huu, haraka dola itasema tukio hilo ni sehemu ya mgogoro wa uongozi ndani ya CHADEMA kwamba kuna watu hawajafurahishwa na kitendo cha ZITTO kuondolewa madaraka. Mytake, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi ya mikoa na wilaya kuwa uongozi wa chama hicho makao makuu umekuwa ukiibua mbinu nyingi za kujipatia posho huku ofisi za mikoa na wilaya zikiwa hohehahe. Shilingi milioni 19 ambazo zitatumika wakati wa ziara hiyo zingeweza kuwa na manufaa zaidi kama zingeelekezwa kuimarisha chama badala ya kutumika kukagua uhai na uimara wa chama ambao Dk Slaa anajua kuwa chama bado hakijawa Imara. Aidha, kitendo cha CHADEMA kupindisha ukweli kuhusu hofu ya kutokea vurugu wakati wa ziara hiyo kwa madai kuwa eti Usalama ndo wameandaliwa kufanya fujo ni ulaghai mkubwa wa kisiasa. Sote tumeshuhudia jinsi ripoti ya Mkoa wa Kigoma ilivyotahadhalisha juu ya ziara hiyo kutokana na wafuasi wengi na wapenda demokrasia kupinga maamuzi ya CC ya CHADEMA yaliyowavua madaraka ZITTO KABWE, DR KITILA MKUMBO na SAMSON MWIGAMBA. Pia tumeshuhudia Dr Slaa akitahadhalishwa juu ya kukanyaga ardhi ya Mkoa wa Singida.
 
Hii thread ni ya kuwadanganya wajinga tu na siyo watu wenye akili kama wa JF. Hiyo document in sahihi ya nani? Ina muhuri wa nani? Je na mimi nikiandika ya hivyo nikasema ni ya chama kingine mtaiamini?
Vitu visivyo na mashiko visije hapa tafadhali.

Hata hivyo, kama matumizi ndo hayo, kwa siku hizo zote na kwa watu hao katika kuzungukia mikoa yote hiyo, basi CHADEMA wanahitaji pongezi kwa matumizi mazuri!!!
BIG UP DR SLAA na wenzako kwa kujitoa ili kuiokoa nchi yetu.
2KOPA1!!!
 
Chadema kama imesafiri na waandishi wote hao, kwanini hawaleti picha?

Hizi pesa za waandishi kuna magumashi ndani yake. Kwanza the fact kwamba mwandishi analipwa elfu 50 wakati mwanamsafara wa chama analipwa elfu 40 ni TOO suspicious...

suspicius kwa kuwa ccm wanalipwa zaidi, kwa waandishi wanaokwenda na chadema hili si hoja
 
Hivi mnataka katibu mkuu alipwe shs 20,000? Hakuna ufisadi hapo ni majungu tu.
 
hivi posho ya dr. slaa ni
shs 80,000?= ni watu wachacha sana nchi hii wataweza kufanya kazi kwa
posho kidogo namna hii!

Mkuu Mwikimbi, haya ma CCM yasha banwa sana, hivo yanakuja na chochote hata kama hakina uhalisia.

80,000 ni pesa ndogo sana kwa nafasi/cheo cha Dr. slaa.
 
Last edited by a moderator:
Wadau, nimefanikiwa kupata waraka wa ndani ya CHADEMA kutoka katika chanzo changu ndani ya Ofisi ya Katibu Mkuu. Amini usiamini, wakati ofisi za CHADEMA zikiwa katika hali mbaya, Dr Slaa anatumia shilingi laki tatu (300,000) kwa ajili tu ya kununulia betri za Megaphone. Pia mdau wangu amenitonya kuwa Dr Slaa AMELAZIMISHA ziara hiyo iwe ndefu kwa lengo tu la kujiongezea posho. Hii hapa ni summary ya waraka huo.

Ziara ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, DK WILBROAD SLAA katika mikoa ya Singida, Shinyanga, Kigoma na Tabora ambayo ilitarajiwa kuanza tarehe 3 Desemba 2013 na kumalizika tarehe 23 Desemba 2013 inatarajiwa kugharibu shilingi Milioni 19,833,300/=. Gharama hizo ni pamoja na posho ya Dr Slaa (80,000 x siku 22 = TSH.1,760,000), posho kwa wana timu 7 (40,000 x siku 22 x watu 7 = TSH.6,160,000), mafuta kwa ajili ya magari 3 (lita 2071 x 2300 = TSH. 4,763,300), vikao vya ndani 19 (TSH. 1,900,000), posho ya waandishi wa habari na watangazaji wa ITV, Nipashe, Mwananchi, Star TV na Tanzania Daima (TSH. 4,550,000), matengenezo ya Gari la ALLAN (TSH. 730,000), Batery za Megaphone ya Katibu Mkuu (TSH 300,000) pamoja na Dharura na Uratibu (TSH. 450,000).

MAMBO YA KUZINGATIA
Katika ziara hiyo, Dk Slaa atazungumzia mambo yafuatayo;

  1. Mambo yaliyoibuliwa na CAG ambayo taarifa zake zitajadiliwa bungeni
  2. Ripoti ya CHC kuhusu ubinafsishaji wa makampuni
  3. Ripoti maalum ya uchunguzi wa Spika kuhusu posho za wabunge
  4. Posho ya Kamati Maalum za Bunge
  5. Harufu ya ufisadi kwenye mradi wa maji Singida

Kuhusu suala la usalama wakati wa ziara hiyo, imeelezwa kuwa kuna harufu imenuswa ya magenge ya wahuni kuandaliwa na wale marafiki zake ZZK walioko Usalama ili waanzishe vurugu. Kwamba wameandaliwa kwa silaha za moto, baridi na vimiminika (tindikali). Kwamba, wakitumia mwanya huu, haraka dola itasema tukio hilo ni sehemu ya mgogoro wa uongozi ndani ya CHADEMA kwamba kuna watu hawajafurahishwa na kitendo cha ZITTO kuondolewa madaraka. Mytake, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi mbalimbali wa CHADEMA ngazi ya mikoa na wilaya kuwa uongozi wa chama hicho makao makuu umekuwa ukiibua mbinu nyingi za kujipatia posho huku ofisi za mikoa na wilaya zikiwa hohehahe. Shilingi milioni 19 ambazo zitatumika wakati wa ziara hiyo zingeweza kuwa na manufaa zaidi kama zingeelekezwa kuimarisha chama badala ya kutumika kukagua uhai na uimara wa chama ambao Dk Slaa anajua kuwa chama bado hakijawa Imara. Aidha, kitendo cha CHADEMA kupindisha ukweli kuhusu hofu ya kutokea vurugu wakati wa ziara hiyo kwa madai kuwa eti Usalama ndo wameandaliwa kufanya fujo ni ulaghai mkubwa wa kisiasa. Sote tumeshuhudia jinsi ripoti ya Mkoa wa Kigoma ilivyotahadhalisha juu ya ziara hiyo kutokana na wafuasi wengi na wapenda demokrasia kupinga maamuzi ya CC ya CHADEMA yaliyowavua madaraka ZITTO KABWE, DR KITILA MKUMBO na SAMSON MWIGAMBA. Pia tumeshuhudia Dr Slaa akitahadhalishwa juu ya kukanyaga ardhi ya Mkoa wa Singida.

View attachment 125003View attachment 125004View attachment 125006View attachment 125007

hii ndo CDM saccos
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom