GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,862
Habari za sa hizi wakuu.
Ninaomba ufafanuzi wa matumizi sahihi ya Cruise Control. Ni gari mpya nimeagiza kutoka Europe. Nissan Pathfinder sport. Nimesoma manual na kujaribu kupitia forums mbalimbali za watumiaji wa Nissan(kwahiyo msiniambie nikagugo)
Ila sasa ninataka kupata uzoefu toka kwa madereva wa Tanzania. Matumizi ya hii kitu,faida hasara na changamoto zake kwa barabara zetu.
Shukran