Jinsi ya kutumia cruise control kwenye gari

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
6,052
9,855
Habari wadau,

Kwa magari ya sasa mengi huwa kuna option ya kutumia cruise control.

Kwa uelewa wangu ni option ambayo inapatikana kwenye gari na unaweza kuset speed ya gari kutembea kwa mwendo fulani bila kukanyaga mafuta. Mfano unaweza set 60km/h ukiweka hapa gari lako linakua lina accelerate kwenye speed pasipo ukanyagaji mafuta.

Option hii huwa inasaidia sana kumaintain fuel consumption.

Advantage za CC ni

1. Kama upo kwenye safari ndefu inasaidia kuondoa uchovu kwa kukanyaga mafuta mara kwa mara.
2. Upunguza ulaji wa mafuta.

Disadvantage

1. Haifai sehemu za msongamano.
2. Pia unapobadili barabara gari haitambui kama barabara ina utelezi kokoto au laah.

Kwa wenye uelewa zaidi karibuni tupeane ujuzi zaidi....

Screenshot_20220222-135557_Chrome.jpg
 
 
Cruise control ipo kwenye magari ya Kijapani tangu miaka ya 2001..!

Hizo disadvantages zake zimerekebishwa kwenye Adaptive Cruise Control..!
Gari za kisasa zina hiyo Adaptive.. Inatambua gari ya mbele imepunguza speed nayo ipungue..Kwahiyo kwenye traffic jam ni fine..!
 
Back
Top Bottom