Matumizi ya Cruise Control kwenye gari

mana niliwai kuijarib @ 200km/h kwny lami mvua inanyesha. mliman ikataka kugeuka inakotoka kuhama njia km vile tair zmezdiwa mzunguko zkateleza
Hahahah una cruise kwenye 200km/h mkuu kweli hujitakii mema 😁😁😁 ingekumwaga hasa kwenye slippery roads. Ku hold mzunguko walau kwa 80km/h ni safe atleast ila zaidi ya hapo unajiweka katika position mbaya in case of emergencies.
 
Hiyo Cruise Control siioni....nimepiga kanissani kangu Jeki, sasa hivi nipo huku chini naitafuta...kwani naiona...?

Very sad.....Wajapan wanatunyima uhondo..
 
siku hizi kuna advancement ya cruise control ambayo inaitwa ADAPTIVE CRUISE CONTROL gari zenye hii Adaptive Cruise Control zina sensor pale mbele mfano we umeset Cruise Control kwenye Speed 100km/h halafu ukakutana na gari mbele yako inakwenda kwa speed ya 80km/h basi gari yako automatic itapunguza mwendo na kuwa sawa na yule aliye mbele yako yaani wote mtakuwa na speed ya 80km/h bila ww kukanyaga break na ikiwa yule wa mbele yako ataongeza speed na yako automatic itaongeza kuendana na yule wa mbele. Hii imewekwa ili kuepusha ajali ambazo zilikuwa zinatokea hasa ulaya huko.
unnamed.jpeg
 
siku hizi kuna advancement ya cruise control ambayo inaitwa ADAPTIVE CRUISE CONTROL gari zenye hii Adaptive Cruise Control zina sensor pale mbele mfano we umeset Cruise Control kwenye Speed 100km/h halafu ukakutana na gari mbele yako inakwenda kwa speed ya 80km/h basi gari yako automatic itapunguza mwendo na kuwa sawa na yule aliye mbele yako yaani wote mtakuwa na speed ya 80km/h bila ww kukanyaga break na ikiwa yule wa mbele yako ataongeza speed na yako automatic itaongeza kuendana na yule wa mbele. Hii imewekwa ili kuepusha ajali ambazo zilikuwa zinatokea hasa ulaya huko.View attachment 1184525
Or active cruise control
 
Kwenye magari ya kimarekani spidi hiyo unaifikisha kirahisi tu ukiwa kwenye highway kwani ni kama 150mph ambazo zinafikika sana. Ila kwa vile sehemu nyingi kuna spidi limit za kuazia 60MPH hadi 85mph utabanwa usiifikie, ila ukitaka wewe nenda Montana ambako utapiga mpaka 150mph bila matatizo kabisa
Mkuu naomba nipishane na wewe hapo. Kwanza mimi nilimuuliza RRONDO kama amemaliza kisahani kwa sababu kuna uzi mmoja aliandika kuhusu top speed ya hiyo gari,na kulikuwa na mjadala kama amalize kisahani au vipi ndio maana mimi nikaamuliza,na muulizwaji mwenyewe nadhani alofahamu kwa nini nilimuuliza na akajibu vizuri sana.
Haya sasa narudi kwenye maelezo yako,kwanza kwa USA highway ambayo inaruhusu mwendo wa kasi zaidi kuliko zote kwa sasa ni I-130 iliyopo texas na speed limit ni 85mph zidisha kwa 1.6 kupata kph.Na hakuna highway ya montana inayozidi 75mph,kama nimekosea naomba tu unitajie hiyo highway. kwa USA labda uende race truck ndo unakuwa huru kupiga uwezavyo au sehemu kama Bonneville Salt flats huko Utah ndo unaweza.Kumbuka hiyo sio highway.
Ungeniambia Autobahn amabzo zipo German ndo ningekuelewa maana hazina speed limit.
hizo highway sehemu unazozisema mimi nimeshapita sana huko maana ndo makazi yangu huku kwa miaka mingi sana.
 
Sikujua majadiliano yenu ya nyuma ila nilikuwa naongelea kuhusu gari kufikia speed ya mwisho inayoonekana kwenye speedometer; watu wengi wamekuwa wanadhani hazifikiwi lakini zinafikiwa tu kulingana na hali ya barabara.
.
Kuhusu speed limita za Montana, ni kweli, Montana baada ya kubaniwa fedha za USDOT kutokana na speed limit ndipo wakaweka speed limits kwenye Interstate, US Highways, na State Highways. Lakini County Highways nyingi bado hazina speed limits mradi hazishare road fund na State au US Govt. Ukiwa kwenye barabara hizo za county wewe ni kanyaga twende tu mpaka umalize sahani yako. Nyingi ni tambararare na zimenyooka moja kwa moja
 
Bado tunatofautiana hapo kwa montana.Barabara zote za USA zina majina au namba,na mimi napenda kwenda na evidence ndo maana nilipokutolea mifano,nilikupatia na majina ya hizo barabara na speed limit zake,ina maana kama hukubaliani na maelezo niliyotoa unaangalia. Sasa unapoandika tu barabara za montana bila kunipatia jina la hiyo barabara inakuwa ni story za kijiweni mkuu.
 
Siwezi kukariri namba za barabara ambazo situmii kila siku labda kama sina vitu vingi vya kuweka kichwani. Ni kweli kuwa barabara kuu za US zina namba ambazo ni za aina nne: Interstate, US Highways, State Highways, na Countty Highways. Namba za barabara hizo nyingi zinaingiliana, kwa maana ya kuwa zinakuwa serviced na funds mbalimbali. Sehemu kubwa ya Highways za Montana sasa hivi zina speed limits kutokana na kuwa na sheria ya speed limits kwenye Interstate, US Highways na State Highywas, lakini hakuna sheria inayobana Counties kushusha speed limits zao. Kwa hiyo bado kuna Counties ambazo zinatumia speed limit inayoitwa Reasonable and Prudent kwenye baadhi ya barabara zao labda kama wameondoa miaka ya hivi hivi karibuni. Nilizipitia miaka sita iliyopita wakati ninakwenda na familia yangu kule Yellow Mountains hakukuwa na speed limit kabisa.

1566425404781.png
 
View attachment 1187145
No speed limit[edit]
On March 10, 1996,[103] a Montana patrolman issued a speeding ticket to a driver traveling at 85 mph (136 km/h) on a stretch of State Highway 200. The 50‑year‑old driver (Rudy Stanko) was operating a 1996 Chevrolet Camaro with less than 10,000 miles (16,093 km) on the odometer. Although the officer gave no opinion as to what would have been a reasonable speed, the driver was convicted. The driver appealed to the Montana Supreme Court. The Court reversed the conviction in case No. 97-486 on December 23, 1998; it held that a law requiring drivers to drive at a non-numerical "reasonable and proper" speed "is so vague that it violates the Due Process Clause ... of the Montana Constitution".

Effective May 28, 1999, as a result of that decision, the Montana Legislature established a speed limit of 75 mph.[104]

  • Montana's US, State, and even Secondary roads have speed limits posted 70 mph/night:65; truck:60/night:55.
Seven years later, a research study conducted by the Insurance Institute for Highway Safety, a long-time advocate of the federal National Maximum Speed Law, showed Montana's 75 mph speed limit on rural Interstates was well received by motorists; traffic speed measurements taken by IIHS showed 76 percent of cars in compliance with 75 mph on those roads. IIHS also found large trucks subject to Montana's unchanged 65 mph speed limit for large trucks on rural Interstates slowed down dramatically, from a mean speed of 70 mph in 1996 to 65 mph in 2006, with the 85th percentile large truck speed dropping 11 mph, from 79 mph in 1996 to 68 mph in 2006.[105]

nadhani hapo tutaelewana vizuri.Sijui wewe hiyo miaka sita unaihesabu vipi,lakini ukisoma hapo nafikiri utaelewa.
 
Back
Top Bottom