Matumizi sahihi ya lugha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi sahihi ya lugha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dingswayo, Jun 21, 2010.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Tangu nijiunge na JF nimekuwa nikisoma posts nyingi ambazo waandishi wake wamekuwa wakitumia, katika uandishi wao, lugha vibaya. Lugha hizo aidha ni Kiingereza au Kiswahili. Hii inaonyesha kuwa waandishi hawa wamezoea kutumia lugha hivyo hata wanapoongea. Kwa vile JF ni jamvi la kufundishana, naona si vibaya kuanzishwa forum ya lugha, ambapo pindi mwandishi wa post atakapokosea kuandika kwa ufanisi sahihi, wana JF wataweza kumsahihisha. Kufanya hivyo itatuwezesha pia sote kujifunza na kueneza ufanisi wa legha zetu hizi.
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mbona jukwaa la lugha lipo?
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Posts= Kiingereza ndani ya kiswahili
  Legha= nadhani ulikuwa unamaanishan Lugha

  vinginevyo umeeleweka
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Lol. Asante kwa kuanzia kwangu.
   
Loading...