Matumizi sahihi ya body splash, body spray na perfume

kwa nlivyozoea mimi, natumia body spray mbili aina ya nivea( pearl n' beauty amby naispray kwapani na kwny usiri, hlf natumia fresh natural ambayo najipulizia mikonon mpk vdole vya mikono, shingon, kifuan, tumbon na mgongoni), kwanin nafany hv?, jibu ni kwmb haya makitu, p n' b ni anti-perspirant amby ina uweupe na inakuwa km poda ikikauka, na ya pili ni special kwa kuzuia harufu ya jasho ama deodorant, hlf nkishavaa vest napulizia kdg hii frsh ntrl en namalizia vwalo na viatu thn nachukua olive oil napulizia kchwn au keny nywle mwisho nachukua perfume napulizia kwny shati na suruali, hpo nakuwa tayar kuxepa zangu.
Jinsia yako plse!
 
Unafaa kwa matumizi ya binadamu
 
duh iseee. o_Oo_Oo_O mnh ila haya makemikali tusiyaamini sana,
 
kwani ni dakika ngapi kufanya hayo mambo? ujue kaka zetu mnauzi sometimes na vikwapa vyenu hadi basi .ndo maana hata mechi tunatoa chini ya kiwango .hata kupaka deodorant inahitaji muda?
Mi sinuki kwapa wala minguu! isitoshe siwezi vaa boxer au sox siku mbili. Kila jioni nafua wakati wa kuoga.
 
Hapa huu mjadala hautsisha,kuna watu wengi sana wanaamini kwamba mtu anayetumia Perfume au Deodorants ananuka jasho au ana harufu mbaya,sio kweli kabisa,wengi wa wapenzi wa manukato ni watu wanaopenda kunukia manukato/kunukia vizuri na si vinginevyo.
 
nani kasema hivo!
 
nyie ndo mnachafua mazingira nyie kanunue hata deodorant ya nivea 6000
Jaman sio sisi hao wanatumia haruf za viwanda ndio wachafuz na izo haruf za viwandani zinawastiri minuko yao.....kama na wewe unatumia harufu ya kiwandan basi nakuexlud wewe.
 
Back
Top Bottom