Matumizi mabaya ya gari la serikali........!!

shamba la bibi!

hivi ni kwanini wadau wangi wa jf hamuwezi kufikiria zaidi ya vile mnavyovijua au msivyovijua, maana naona siku zote mmeendelea kuamini mnachoamini ninyi ndiyo sahihi na hamhitaji kufikiria ukweli wa mawazo yenu inapotokea mazingira ni tofauti na mnayofikiria?
 
hivi ni kwanini wadau wangi wa jf hamuwezi kufikiria zaidi ya vile mnavyovijua au msivyovijua, maana naona siku zote mmeendelea kuamini mnachoamini ninyi ndiyo sahihi na hamhitaji kufikiria ukweli wa mawazo yenu inapotokea mazingira ni tofauti na mnayofikiria?

Mkubwa... wanasema kuona ni kuamini.... labda hebu tusaidie "kufikiria ukweli wa mawazo yetu"....... hebu tueleze mkubwa......
 
Magari ya vyombo vya dola wakati mwingine uwa yanatumia namba za private ili yasijulikane kama yapo kwenye special operation.


Safari za kwa Vimada,Nyumba Ndogo,Kampeni za siasa,Waganga wa kienyeji,Vikao vya Harusi hizo ndio
special operation. imefika mahali namba za STK ziwe public information tuweze kuwa wajibisha hawa wanaotumia misaada ya wafadhili na kodi zetu vibaya
 
hamna kazi nyingine ya kufanya bali kufuatilia utumbo. mambo mangapi ya kutisha yanafanywa na serikali hii mbona mko kimya?
 
hivi zile harakati za Magufuli kurudisha magari ya serikali miaka ya 2000's hivi zimeishia wapi?uko wapi uzalendo wa taifa hili?
 
Magari yote ya serikali lazima yawe na number plates mbili ili kurahisisha malipo ya kodi.
 
Hii ndo bongo land!! Kila kitu possible!! Mbaya zaidi namba imeangukia mbele ya central police!!!
 
Kwa vile hakuna usimamizi mzuri wa vyombo vya serikali kilichobaki kila mwenye nafasi anajimegea tu, hatupaswi kushangaa sana kama Ikulu imebinafisishwa kwa Magamba miaka yote unategemea nini kwenye hivi vi-magari.
 
Back
Top Bottom