Matumaini ya Lowassa njia panda

Matumaini ya Lowassa njia panda

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
MZEE WETU KASHINDWA KUJENGA HATA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZIWA JAPOKUWA ANAO NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI! HATARI!

Katika hali isiyo ya kawaida ni lazima tujiulize hiv Ikulu kuna nini?

Babu yetu hana uwezo wakuleta mabadiliko ndani ya nchii kwasababu ameshindwa kuwasaidia wananchi wake wa Monduli eneo linaloongoza kuwa na lidadi kubwa ya wafugaji na yeye mwenyewe kuwa na NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI, babu zaidi ya miaka 20 akiwa kiongozi kashindwa kuwajengea wafugaji hata kiwanda 1 cha maziwa ili kutoa uwezo kwa wanainchi husika kupata ajira na hatimaye kuinua kipato chao kila siku.

HALI AMBAYO NI TOFAUTI KABISA NA NYIMBO ZAKE ZA KILA SIKU ZA KUTENGENEZA AJIRA, Monduli kashindwa nchi nzima ndo ataweza kweli? Haaaa kweli ni nyimbo baadae zitakuwa ni NGONJERA.

Yawezekana ni ndoto za kuweza matumainikutengeneza ajira akiwa kazeeka kweli haya ndo maigizo yenyewe ya uzeeni!

ASITUFANYE WATOTO WADOGO WAKULISHWA UNGA WA NDELE NASEMA NOOOOOO. MZEE OUT

TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
 
Kitengo chenu cha propaganda lumumba kinapitia wakati mgumu sana..

Ccm ipo mahututi.
 
Ajenge kiwanda kwa mshahara wake? Mwinyi, mkapa na jakaya walijenga vwanda gani kabla hawajawa marais au baada ya kuwa marais walijenga viwanda gani ? Magufuli kajenga kiwanda gani chato kwa miaka 20 aliyokuwa MBUNGE? Nipe majibu.
 
Ni kweli lazima tujiulize hivi ikulu kuna nini ccm hawataki kuachia wengine??...asante mleta uzi...viva lowassa
 
Ila umenieka sawa uyu jizi lowasa si alikua mbunge kwa 20 years kashindwa kupeleka hata kakiwanda ka sido kkuezesha wafugaji kusindika maziwa yao alafu v leo anasema anaweza kujenga viwanda sehemu zote zenye ngombe hahahahha naoba hua malaria inapanda ndio anaongea hovyo tu
 
Mtajuta kuwa wafuasi wa fisadi this time
 
Ikulu Mwaka Huu Ccm Hamtaingia Kamwe
Vijana Wako Ukawa Na Wapiga Kura
 
Hata kama anaumwa kichocho tutampeleka ikulu hata kama yuko fisadi tutampeleka ikulu hata kama ni mwizi tunataka

viva roma viva.

swissme[/QUOTE

Jisemee mwenyewe sisi wengine hatutaki hata kumsikia huyo jambazi.
 
Wewe kweni ni wapi?
Au wewe ni Yahaya?
Wewe kwenu umeleta maendeleo gani ili tukuchague?
 
Kuna watu watakuja hapa na kukumbusha hizi details hapa chini

Join Date : 26th August 2015

Posts : 217

Kutoka 26th August mpaka 15th september ni kama siku 2O .....hii ina maana kwamba unapost zaidi ya post 10 kwa siku!!!!

Hapa Jf watu wanaamini kuwa kama umejiunga hivi karibuni na unapost sana basi upo hapa kwa malengo maalum.Sijui kama hili ni kweli, nalifanyia uchunguzi
Labda nikuulize una malengo maalumu? Ya kisiasa au kijamii?
 
Mtu alikuwa waziri mkuu,hakufanya lolote wakati ndo mtu wa karibu na utendaji wa kila siku wa rais,mwenzake alikuwa waziri tu lakini kafanya mambo yanayoonekana,bila kupepesa macho Lowassa kazidiwa mbali na JPM jembe,tinga tinga,mzee wa maamuzi.
 
MZEE WETU KASHINDWA KUJENGA HATA KIWANDA KIDOGO CHA KUSINDIKA MAZIWA JAPOKUWA ANAO NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI! HATARI!

Katika hali isiyo ya kawaida ni lazima tujiulize hiv Ikulu kuna nini?

Babu yetu hana uwezo wakuleta mabadiliko ndani ya nchii kwasababu ameshindwa kuwasaidia wananchi wake wa Monduli eneo linaloongoza kuwa na lidadi kubwa ya wafugaji na yeye mwenyewe kuwa na NG`OMBE ZAIDI YA ELFU KUMI, babu zaidi ya miaka 20 akiwa kiongozi kashindwa kuwajengea wafugaji hata kiwanda 1 cha maziwa ili kutoa uwezo kwa wanainchi husika kupata ajira na hatimaye kuinua kipato chao kila siku.

HALI AMBAYO NI TOFAUTI KABISA NA NYIMBO ZAKE ZA KILA SIKU ZA KUTENGENEZA AJIRA, Monduli kashindwa nchi nzima ndo ataweza kweli? Haaaa kweli ni nyimbo baadae zitakuwa ni NGONJERA.

Yawezekana ni ndoto za kuweza matumainikutengeneza ajira akiwa kazeeka kweli haya ndo maigizo yenyewe ya uzeeni!

ASITUFANYE WATOTO WADOGO WAKULISHWA UNGA WA NDELE NASEMA NOOOOOO. MZEE OUT

TAFAKARI,CHUKUA HATUA.
Nimejaribu kuringanisha TITLE na CONTENT sijaona mahusiano...... Yaani hapo ulichotaja ni mapungufu ya serikali.... Umefanya kama hotuba za Magufuli.... JK anasemna tumefanya kazi kubwa kuifikisha nchi hapa, wakati Magufuli anasema nchi imefikishwa hapa na majizi.....
 
Ni jambo la aibu sana mtu mwenye uwezo mkubwa tena kiongozi mkubwa tu kutofanya jambo la kimaendeleo katika jamii yake. N'gombe elfu kumi!!! Dah thus alot of fortune ambayo mtu anaweza kuitumia katika kuiendeleza pia jamii inayomzunguka, sawa anaweza kuwa kuna upatikanaji wa maziwa mzuri but vip kuhusu maisha kwa ujumla ya hao wananchi, wanayaendeshaje maisha ya kila siku kama hawana cha kufanya katika kujiiingizia kipato???
Sidhani kama ameshindwa kujenga kiwanda kikubwa tu cha kuprocess maziwa yapatikanayo na hiyo ingewezesha wananchi wa jimbo lake kupata ajira maana lazima kiwanda kiitaji wafanyakazi..
 
Back
Top Bottom