Sasa hapo ndo watanzania tujiulize kama kweli hawa watu wana nia ya kuleta maendeleo na mabadiliko anayohubiri. Amekua mbunge kwa miaka 30, ila cha ajabu wamamsai ndi watu wenye elimu duni, wengi ni walinzi hata makazi yao ni duni. Sasa kama alishindwa kuwajengea ndugu zake nyumba, kutafutia ajira kwa kuanzisha viwanda, kuwapatia elimu, kweli leo tunamuamini mtu kama huyu kweli kwamba atatuletea mabadiliko? We guys we have to stretch our mind na tufikirie nje ya box. Tuache ushabiki wa kilipoteza taifa ila tufikiri ili kulikoa taifa.
Watu wengine shida yao waitwe Rais basi ila sio kutatua matatizo yetu . Tafakari