britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Habari yenu heri ya pasaka, leo kuwa tarehe moja haimaanishi tukiwa na habari genuine tusiiweke , hapana tunaweka,
Mwezi jana nilipata likizo nikawa Tanzania, kama kawaida yangu mtu akifanyiwa jambo lazima nichunguze kupata habari juu yake
Kuna watu walibeza kwamba Dr shika hakuwahi kwenda Urusi ni chizi wa mtaani niliamua kufuatilia suala hilo nikajua ukweli wake kuwa alikuwepo kweli Urusi, na alifanyiwa Unyama, ila nasikia nshaanza kulishwa maneno kwamba nimesema hela za Dr shika zinakuja , hapana mi nilisema nimechunguza tu uwepo wake kule,
Baada ya kufika Tanzania safari yangu ya Tatu ilikuwa Koromije alipozaliwa mtu maarufu ambaye anasingiziwa kufoji vyeti,
Nimepata taarifa ni kweli kabisa mtu maarufu alizaliwa tar.15/02/1980 na si 81 kama wanavyosema, katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
Nimeuliza Jamaa zake na marafiki wa zamani kuhusu jina,Daudi Albert Bashite
Wakanijibu hawamjui mtu huyo kabisa na hawajawahi kuwa na ndugu wa jina ilo, haya majibu nimeyapata kwa Asteria Bwire miaka 45, Kenedy magesa 33, Anord Makonda 42,na Jonathan Kempanju 39, hawa ni marafiki wa karibu wa mheshimiwa mzito, hivo kutojua majina hayo ikanipa mwanga kwamba huyu mtu anasingiziwa,
Nikaamua niende shule ya msingi Koromije na kuomba taarifa za wanafunzi walioanza darasa la kwanza mwaka 1988 nijue kama kuna jina Daudi Albert Bashite. Likakosa nikasema waniangalizie basi walio naza kuanzia 1986 mpaka 1990 hakuna jina kama Ile,
Kama maelezo ya awali walioyaleta amvini wanasema Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition). Hapa pana ukakasi kidogo maana hata shule haikutajwa ili tufike kupeleleza, kuna maswali mengi mno,
Nimeenda shule ya sekondari ya Pamba nimekutana na mwalimu wa taaluma bwana Theofil, Kujua waliojiunga mwaka 1997 nimepata orodha yote hakuna jina la Daud Albert Bashite,
Hata wahitimu wa Mwaka 2000 kama inavyosemekana mtu anayeitwa Daud Albert Bashite kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero) hakukuwa na Jina ilo,
Nimeamua kuishia ngazi hizo maana ndo zinemtaja taja Daud Albert Bashite, kutumika uko,
Note that: mtauliza nafuatilia ili iweje, mimi Nina tabia ya kutaka kuujua ukweli haijarishi gharama ntakayotumia,
Pili. Watanzania wakiamua kukuzushia jambo inabidi liwekwe sawa,
Tatu, ni njia kwa wengine msiwasubiri kina Gwajima au Paul Makonda kuwaambiwa habari zilizo biased fanya utafiti wako mwenyewe,
Mwisho kabisa Kenya kuna demokrasia aisee, sijui kwanini hatujifunzi uko ili tuwafukuze nchini kina mbowe na seif kama Miguna Miguna, alafu wao wajifunze udikteta wetu wamruhusu miguna akae nchini kama kina mbowe na Seif
Britannica