Matukio ya kukumbukwa

Muthiki ni mthito.,yaani ni munene...mwache tu akimbie mkuu KENZY.
 
Hawa unawaonea tu. Ni bahati tu kuwa "celebrity" katika jamii lakini haimaanishi kuwa wana uwezo wa kuchanganua mambo. Naamini na najua, wengi wao ni mizigo vibaya sana "darini". Wametumika 2010, wametumika 2015 na watatumika tena 2020. Hawana akili, utashi na nguvu ya kukwepa asali za wanasiasa; wawe wa upinzani au chama tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…