Mattaka aaga rasmi ATCL

Yaani Mattaka aliharibu ppf, akatimuliwa, akashitakiwa na akaunti zake za benki kufungiwa. Then out of the blue, akaibuka tena, safari hii ATCL na wala hakukawia, akalipeleka shirika hili la ndege ICU! Jk akaingilia, akatoa pesa za walipa kodi na kumkabidhi Mtukufu Mattaka, tena ati aliokoe taifa!!! Sasa wanampeleka katika shirika ambalo linajikongoja! Wanasema kuna Dumb, halafu Dumber, nisameheni wenye lugha yao but sisi ni DUMBEST!!!! (YAANI ZAIDI YA KUMBINGA!)
 
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED






STAFF NOTICE





STAFF NOTICE NO. 02 TO: ALL STAFF




ACTING APPOINTMENT


On 23rd February 2009, I was appointed to the NIC restructuring task force by His Excellency the President of the United Republic of Tanzania. The Minister for Finance and Economic Affairs has also appointed me to the Board of Directors of NIC effective from 23rd April, 2009.I have been informed that the appointment to the task force will be a full time job for six months effective from 1st May, 2009

In view of the above, the ATCL Board of Directors has appointed Mr. William Haji to act in the position of Managing Director and CEO with effect from 8th May 2009 for a period of six months or as it would be appropriate. While at the same time Mr William Haji will remain as substantive Director of Finance

You are asked to give him the necessary cooperation to enable him accomplish his responsibilities.

I wish ATCL all the best .





David E. Mattaka

MANAGING DIRECTOR & CEO




ISSUED BY: MANAGING DIRECTORS OFFICE

DATE: 11TH MAY, 2009

Sasa ndiyo nimejua kwa nini mashirika mengi ya umma yanakufa Tanzania. There is nothing but poor Corporate Governance practices.

BOD inaonekana ina watu makanjanja (wachumia tumbo, wanasiasa wapiga domo inavyoelekea hawajui hata Maana ya annual report na vinavyotakiwa kuwa ndani yake), haina professional personnels, huwezi kuchagua mtu mmoja kuwa katika top posts at the same time. Ina maana huyu anatakiwa kuwa signatory wa maamuzi ambayo anayaanzisha yeye na kuyapitisha yeye mwenyewe.

Umefika wakati sasa wanasiasa waache longolongo na kuona post za juu ni za ulaji badala ya ku-perform. Kesho wakisikia Shirika limezama tena watamtafuta mchawi.

Poor Tanzania watu wanapata nafasi kwa ujanja ujanja badala ya qualification!. Hii inawezekana Bongo Tu, kuwa na practice za kijamaa wakati nchi inajinadi kibepari.

Tanzania ya sasa siyo ya uhuru sasa kuna watu wengi wamesoma na wakipewa nafasi watafanya vizuri tu. Kwa nini kuwa na BOD za ulaji?????.
 
May be good ridance, get someone new, is he knew???? whether he is or not cannot hold two sensitive positions, Good governance, good governance. It never works when one is Prosecutor, Judge and Jurry, whatsoever that person will misfunction, there has to be checks and balances.
 
the ATCL Board of Directors has appointed Mr. William Haji to act in the position of Managing Director and CEO with effect from 8th May 2009 for a period of six months or as it would be appropriate. While at the same time Mr William Haji will remain as substantive Director of Finance

kweli uko atcl kumejaa manyangau...yani vyeo vyote hakuna wa kukabidhiwa kimoja wapo nae ale au ndio

chachandu lao maana kule finance kuna siri nyingi sana wajameni wwakiingia ndani zaidi nadhani watu wataishia keko
 
Hofstede, Huyu William Haji anakaimu kwa muda baadae Rais atateua mkurugenzi mwingine huu ni utaratibu wa kawaida.
 
Kuna tofauti gani na kuhamisha 'wallet' kutoka mfuko wa kulia kuipeleka mfuko wa kulia?

kama mfuko wa kulia umetoboka ina weza kudondoka kwa hiyo inabidi uipeleke mfuko wa kushoto ili kuinusuru...
kwa maana hiyo wallet haita dondoka kama ukiwa unaungalia mfuko mara kwa mara

mwisho wa hiyo wallet ni siku atakapotokea mtemi na kukuambia leta hiyo walleti na upotee
 
......huwezi kuchagua mtu mmoja kuwa katika top posts at the same time. Ina maana huyu anatakiwa kuwa signatory wa maamuzi ambayo anayaanzisha yeye na kuyapitisha yeye mwenyewe....

mkuu haya yameanzia kwenye chama ambapo watendaji wa serikali karibu wote wapo ktk kamati za tathmini ya utendaji wa serikali ktk chama. utegemee suprize zaidi hapo.... na bado...
kama mfuko wa kulia umetoboka ina weza kudondoka kwa hiyo inabidi uipeleke mfuko wa kushoto ili kuinusuru...
kwa maana hiyo wallet haita dondoka kama ukiwa unaungalia mfuko mara kwa mara

mwisho wa hiyo wallet ni siku atakapotokea mtemi na kukuambia leta hiyo walleti na upotee
hahahahaha
mkuuu hiyo kali kweli
watu hawajifunzi kwa makosa hawa.
 
the ATCL Board of Directors has appointed Mr. William Haji to act in the position of Managing Director and CEO with effect from 8th May 2009 for a period of six months or as it would be appropriate. While at the same time Mr William Haji will remain as substantive Director of Finance

kweli uko atcl kumejaa manyangau...yani vyeo vyote hakuna wa kukabidhiwa kimoja wapo nae ale au ndio

chachandu lao maana kule finance kuna siri nyingi sana wajameni wwakiingia ndani zaidi nadhani watu wataishia keko


This guy is good. Give him time and see the difference. Probably they are putting him up for examination.
 
kwa kazi gani nzuri aliyoifanya ATCL mpaka apewe na NIC tena?
 
Babadeci na wengine kwani hamjuwi kuwa matakataka ni classmate wa kisura wetu Kibaha secondary? Aliosoma nao wote mambo yao mswano uwe na uwezo wa kazi au huna utabebwa tu. Kuanzia kwa flag, huyu aliyebwabwaja juzi kwenye issue ya mengi na ra mpaka kwa nani sijuwi. Swali ambalo ninajiuliza siku zote na sijapata jibu kuwa HALI HII MPAKA LINI? maana wanaolipa gharama ya ujinga huu ni wale masikini wanaokufa kwa kukosa panadol wao wakubwa na families zao ah mambo poa.

Kuna thread niliisoma hapa kuhusu tuhuma za matakataka na bwana william haji the acting CEO ambaye ninamfahamu toka PWC. So kama kuna mtu ana matarajio yoyote toka kwa ATCL ameliwa hamna kitu hapo, mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya. Yaani hapo william ni tv na matakataka ni mtazamaji mwenye remote mkononi. TANZANIA NAKUPENDA SANA NA NINAKUHURUMIA SANA PIA, KIBAYA SINA NAMNA YA KUKUSAIDIA
 
Nafikiri Mataka ni kama ARV ya mashirika yanayoelekea kufa..."ARV ni dawa inayofaa sana kama madhara ya kutumia ni madogo ukilinganisha na madhara ya kutotumia yaani kifo" Poor JK mashirika ya umma hayatakiwi kufa yamekosa uongozi na kuletewa ARV's
Mashirika haya yanapewa Ugonjwa na viongozi wabovu ambao baadae wanarudishwa kama dawa ya kuyanusuru !!!!!!!!???????????
 
Kama DM ni super Administrator kwanini asipewe Ukatibu Mkuu wa CCM? Nauliza tu waungwana?
 
mimi nauliza hivi ni njia gani walala hoi tutumie ili kudhibiti viongozi wabovu?

Ni kuwatoa na kuchagua viongozi makini ambao wakiwa madarakani hawatachagua watu kama Mattaka waaribifu then wanapelekwa huko huko eti kufufua shirika what a shame huu uongozi wetu.
 
Hizo ndo zinaitwa fadhila na undugu. huyu Mattaka ameiharibu ATCL lakini JK ameshindwa kumtoa hivihivi mpaka ampe sehemu nyingine akale tena. Huu ni ujinga mkubwa sana.

Lakini Bwana Mattaka anakashfa nyingi zikiwemo za kutomba wanaume wenzake mfano alimtomba Defao mpaka akashindwa kuonyesha shoo.

Mtu wa utashi kama wa Mattaka anatakiwa asipewe dhamana yoyote.

Sheers
 
This guy is good. Give him time and see the difference. Probably they are putting him up for examination.

I have much confidence with Haji. He's at his best and can revitalize the Airline. My ambition is to see more young bloods steering this company. Moreover, I assume more fresh graduates will be recruited to the various entry level positions in order to keep the aviation industry upbeat.
 
Hizo ndo zinaitwa fadhila na undugu. huyu Mattaka ameiharibu ATCL lakini JK ameshindwa kumtoa hivihivi mpaka ampe sehemu nyingine akale tena. Huu ni ujinga mkubwa sana.

Lakini Bwana Mattaka anakashfa nyingi zikiwemo za kutomba wanaume wenzake mfano alimtomba Defao mpaka akashindwa kuonyesha shoo.

Mtu wa utashi kama wa Mattaka anatakiwa asipewe dhamana yoyote.

Sheers

duh! ze utamuz standard not JF please, mods are these words allowed.
 
I have much confidence with Haji. He's at his best and can revitalize the Airline. My ambition is to see more young bloods steering this company. Moreover, I assume more fresh graduates will be recruited to the various entry level positions in order to keep the aviation industry upbeat

OOOOOOOOOOHH MA GOD PUNDA UR WORDS R SO SWEET N GOOD EVEN ME I LIKE YOUNGBLOODS UNFORTUNATELY FOR THE INFO SRC SOON UR STPD PRES IS GOING TO PUT HIS MAN FROM USALAMA...THIS IS VERY SADNEWS FOR SOMEONE LIKE TO SEE ATC MOVING ON
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom