mwl kasema kuna ng'ombe hajaandika jina, ww ukanyanyuka ukaenda, daah, umenifurahisha sana..Sasa kwanini ulienda kuchukua karatasi yako si ungesema siyo ya kwako.
mwl kasema kuna ng'ombe hajaandika jina, ww ukanyanyuka ukaenda, daah, umenifurahisha sana..
Jamaa akawa amekubali kua yeye ni ng'ombe.