Matokeo ya Valentine

Matokeo ya Valentine

Ha ha haaa Valentine imejibu! Chezea penzi la msimu! Sikukuu ya wapandanao! Wapigwe mimba tu tumechoka na viherehere vyao vya ashki!
 
Ha ha haaa Valentine imejibu! Chezea penzi la msimu! Sikukuu ya wapandanao! Wapigwe mimba tu tumechoka na viherehere vyao vya ash

ofa ya siku moja imempa matatizo ya mwaka mzma
 
lol...wengi huwa wanapimia kina cha maji hii statement..unakuta washaambiwa kama watu 160 hivi kabla yako
 
Huyo msichana amekurupuka alikuwa na mimba yake kabla ya valentine, hata wiki bado mimi ningekataa. Anayejua at least Biology ya Form III ataelewa idadi ya siku inayotakiwa kati Ovulation day/period na Menstruation Period onset.
Aeleze ukweli nani muhusika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom