Matokeo ya Valentine yametoka leo

Matokeo ya Valentine yametoka leo

iko vizuri tu nilipo kuwa darasa la tatu tulikuwa tuna sema 2 gawanya kwa 5 jibu lake ni haiwezekani na mwalimu huku akijua kabisa kuwa inawezekana na jibu lake ni 0.4 bado alikuwa ana tupa alama ya vema kwa sababu ya level yetu wakati ule. Ninajua pia kwa level ya baadhi ya watu wataona 522% haiwezekani lakini 522% ipo na sahihi.

Mmmmmh unazidi kuchemshA !!!


Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Back
Top Bottom