mende ananyonyo alafu yupo kundi gani..?
maana me najua ni mdudu sasa vipi tena na maziwa..
hii kamba
Wenyewe wale tuAisee huko china Mende analiwa tena ni chakula ghali kweli...wanafugwa kama kuku kwenye sehemu maalum ili waweze kuzaliana kwa wingi
Haaaa anasagwa kwenye brenda kisha inakuwa juice.Maziwa Ya MENDE Au Juice Ya MENDE??
Unampasua ndio unapata hayo maziwa.SOURCE please inaonekana kama habari ya kutunga tu mende hizo chuchu zenyewe hana hata mtoto wake hawez kulea akitaga yai hapo litajitotoa lenyewe sasa sijui hao watafiti walifanyia utafiti wao kwa mende wa aina gani?