Elections 2010 Matokeo ya Urais kwa majimbo ya CHADEMA hayatolewi, kwa nini?

sizy

Member
Jun 14, 2010
29
4
mbona sipati matokeo ya urais majimbo haya,
HAI, MOSHI MJINI, ARUSHA MJINI, KARATU, ILEMELA, NYAMAGANA, BIHARAMULO, KIGOMA, MBEYA MJINI, IRINGA MJINI, UBUNGO, KAWE,BUKOMBE, SINGIDA MASHARIKI, MBULU, MBOZI MAGHARIBI, UKEREWE, ROMBO, MUSOMA MJINI, MASWA MAGHARIBI & MASHARIKI, KASULU MJINI,:israel:
 
Tatizo wewe ni mshabiki sio mchambuzi na mfatiliaji wa siasa ila unafata mkumbo majimbo kama hai JK amepata kura nyingi zaidi ya slaa,Nyamagana na ilemela tayari sasa tatizo la watanzania kama wewe unataka kujifanya wewe jaji,wewe daktari,wewe tume,wewe mhadhiri maana suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume kulingana na upatikanaji wa matokeo na kama una mtazamo hadi sasa JK anakura karibu 2.6 millioni sawa na asilimia 64 na Slaa laki 8 source gazeti la mwananchi huwezi kulalamika sasa acha ushabiki angalia mwelekeo wa matokeo.
 
suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume .

Umekosea , hapa TZ ni Mamlaka ya raisi aliyepo madarakani kupitia Tume

Tume katika ngazi ya wilaya na kata , wanasimia wakurgenzi wa Wilaya(Wateule wa Rais) na Watendaji wa Kata (waajiriwa wa Rais) respectively
kwa hiyo yote wayafanyayo wafanya hivyo kwa niaba ya mwajiri wao( Dr wa Kubumba KIKWETE)
 
Tatizo wewe ni mshabiki sio mchambuzi na mfatiliaji wa siasa ila unafata mkumbo majimbo kama hai JK amepata kura nyingi zaidi ya slaa,Nyamagana na ilemela tayari sasa tatizo la watanzania kama wewe unataka kujifanya wewe jaji,wewe daktari,wewe tume,wewe mhadhiri maana suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume kulingana na upatikanaji wa matokeo na kama una mtazamo hadi sasa JK anakura karibu 2.6 millioni sawa na asilimia 64 na Slaa laki 8 source gazeti la mwananchi huwezi kulalamika sasa acha ushabiki angalia mwelekeo wa matokeo.

Kweli we fara! we kila kitu yawe mavi ukipewa utakula? kweli sisiem ina watu wenye upungufu wa akili!
 
Back
Top Bottom