Du,,ina maana kituo hicho kilikuwa na wapiga kura @110...!"...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.
"...kaka kituoni kwangu ccm 43, chadema 65, cuf 3, appt 1, zimeharibika 2..." kwa njia ya sms.
...na mchana huo huo Jukwaa likaandaliwa, Mkurugenzi wa NEC akafungua jalada, akaanza kusoma matokeo, huku sauti yake ikiwa na kitetemeshi, jasho jingi likimtoka, akavuta pumzi ndefu iliyoashiria kutojiamini na mashaka aliyokuwa nayo...!Mara nikaona mwanga na usiku ukawa mchana....
"...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.
muongo wewe!! Kura bado hazijaanza kuhesabiwa unaanza uchimvi na kutaka kuleta vurugu!! Matoke ni mpaka kura zihesabiwe!!!
...na mchana huo huo Jukwaa likaandaliwa, Mkurugenzi wa NEC akafungua jalada, akaanza kusoma matokeo, huku sauti yake ikiwa na kitetemeshi, jasho jingi likimtoka, akavuta pumzi ndefu iliyoashiria kutojiamini na mashaka aliyokuwa nayo...!
"...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.