Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Morogoro

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Chromium, Oct 31, 2010.

 1. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  "...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli ni mwanzo mzuri
   
 3. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahah! safi sana mkuu wapi hapokituo gani hicho mkuu? hapo ni za urais au mbuge mkuu?
   
 4. c

  chanai JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks for the update,
  Kweli mwaka huu ni wa people's power.
   
 5. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hizo za Urais, morogoro mjini kuna jamaa yangu anasimamia kituo. CCM walie tu!
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du,,ina maana kituo hicho kilikuwa na wapiga kura @110...!
  Haya sasa, hii kweli ni rasharasha, mvua zaja!
   
 7. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mara nikaona mwanga na usiku ukawa mchana....
   
 8. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  muongo wewe!! Kura bado hazijaanza kuhesabiwa unaanza uchimvi na kutaka kuleta vurugu!! Matoke ni mpaka kura zihesabiwe!!!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  ...na mchana huo huo Jukwaa likaandaliwa, Mkurugenzi wa NEC akafungua jalada, akaanza kusoma matokeo, huku sauti yake ikiwa na kitetemeshi, jasho jingi likimtoka, akavuta pumzi ndefu iliyoashiria kutojiamini na mashaka aliyokuwa nayo...!
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kum%$#$%^&ke walete waleteeeeeeeeeeeee!

  Naskia Morogoro siyo ngome ya Chadema.
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  No comment
   
 12. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Morogoro mjini yupo yule Myemen anaitwa Abood, sio rahisi kumshinda.

  Waluguru bana kazi kweli kweli!
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Hivi mzima wewe, saaa kumi ni mwisho wa kupanga mstari, na kama hakuna foleni ina maana hiyo saa kumi kituo ndio kinakuwa kimemaliza kazi yake, sasa hebu tuambie muda wa kuhesabu kura ni saa ngapi?, ina maana hao jamaa wakae hapo bila kufanya kitu chochote mpka wewe Zubeda useme?
   
 14. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mie nasubiri matokeo ya mwisho bana,by the way its a good sign kama ni kweli
   
 15. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa.
   
 16. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mkuu umeweka historia leo, matokeo ya kwanza ya uchaguzi 2010 on JF.
   
 17. Nkoboiboi

  Nkoboiboi JF-Expert Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Zubeda unaanza kukataa matokeo.
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  inabidi utaratibu uwekwe ili kila matokeo yanayokuja yawekwe sehemu moja na iwe raisi kupata total
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ...aliangaza pande zote asione msaada aliohitaji. Inavyoonekana alikuwa akimkumbuka Kivuitu. Alishituka toka lindi la mawazo baada ya kuguswa bega na Makame. Kwa hofu na unyonge alivaa miwani yake na kutakasa koo. Hakuwa na jinsi zaidi ya kuutangazia umma...
   
 20. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hiyo ni 57% ni mwanzo mzuri sana
   
Loading...