Matokeo ya uchaguzi mdogo Kirua Vunjo kwa James Mbatia

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
i)Kitongoji cha Kopachi:CCM - 69,NCCR-Mageuzi 49
ii)Kitongoji cha Mkonja:CCM -53,NCCR-Mageuzi 39

[HASHTAG]#NOTE[/HASHTAG] Vijana wa Chadema Mitandaoni na Uongozi wa Chadema kanda ya kaskazini umesema wananchi walioichagua CCM ktk uchaguzi mdogo huko vunjo hawana akili, maskini na ni wale wasiojitambua. Hii kauli ya viongozi wa Chadema ni moja ya kauli za kijinga sana ktk chama kinachohubiri demokrasia na uhuru wa kuchagua.

Binafsi niwakumbushe Chadema kuwa, hata hizo kura wanazoziita za wajinga na maskini huwa zinahesabiwa ili kumpata mshindi hivyo wasiwadharau maskini au watu ambao hawajasoma kama kweli wanadhani ndiyo wanaosababisha CCM kushinda kila siku tangu uhuru.
 
JINOME: Kwani UTAFITI wa TWAWEZA ulisemaje kuhusu wasifu wa wapenzi wa CCM? Mimi nakumbuka utafiti ulisema CCM inapendwa na watu wenye elimu duni, yaani mbumbumbu kwa lugha nyingine. Kwa hiyo CCM kushinda kwa kishindo Dodoma, na Singida huwa sishangai maana najua mikoa hiyo ikoje kielimu.
 
OSOKONI: Upinzani ukibaki historia Tanzania ni hasara kwa nani? Halafu watajipangaje kimkakati kama hata vikao vya ndani wanakatazwa? Watanzania ni wajinga sana. Hali halisi ya siasa za Tanzania kwa sasa kila mtu anafahamu kwamba yupo mtu mmopja tu anayetaka asikike na wengine wakae kimya. Badala ya kumlalamikia huyo ili awaache na wenzake wafanye siasa kama yeye bado tunawalalamikia waliokatazwa kufanya shughuli za siasa.
 
i)Kitongoji cha Kopachi:CCM - 69,NCCR-Mageuzi 49
ii)Kitongoji cha Mkonja:CCM -53,NCCR-Mageuzi 39

[HASHTAG]#NOTE[/HASHTAG] Vijana wa Chadema Mitandaoni na Uongozi wa Chadema kanda ya kaskazini umesema wananchi walioichagua CCM ktk uchaguzi mdogo huko vunjo hawana akili, maskini na ni wale wasiojitambua. Hii kauli ya viongozi wa Chadema ni moja ya kauli za kijinga sana ktk chama kinachohubiri demokrasia na uhuru wa kuchagua.

Binafsi niwakumbushe Chadema kuwa, hata hizo kura wanazoziita za wajinga na maskini huwa zinahesabiwa ili kumpata mshindi hivyo wasiwadharau maskini au watu ambao hawajasoma kama kweli wanadhani ndiyo wanaosababisha CCM kushinda kila siku tangu uhuru.

JINOMESenior Member
#1
34 minutes ago

Joined: May 29, 2017
Messages: 160
Likes Received: 21

trophy Points: 60
 
i)Kitongoji cha Kopachi:CCM - 69,NCCR-Mageuzi 49
ii)Kitongoji cha Mkonja:CCM -53,NCCR-Mageuzi 39

[HASHTAG]#NOTE[/HASHTAG] Vijana wa Chadema Mitandaoni na Uongozi wa Chadema kanda ya kaskazini umesema wananchi walioichagua CCM ktk uchaguzi mdogo huko vunjo hawana akili, maskini na ni wale wasiojitambua. Hii kauli ya viongozi wa Chadema ni moja ya kauli za kijinga sana ktk chama kinachohubiri demokrasia na uhuru wa kuchagua.

Binafsi niwakumbushe Chadema kuwa, hata hizo kura wanazoziita za wajinga na maskini huwa zinahesabiwa ili kumpata mshindi hivyo wasiwadharau maskini au watu ambao hawajasoma kama kweli wanadhani ndiyo wanaosababisha CCM kushinda kila siku tangu uhuru.

Hapo we unaona matokeo yako sahihi??

Utafiti Wa twaweza ulishasema ccm inapendwa na wajinga
 
OSOKONI: Upinzani ukibaki historia Tanzania ni hasara kwa nani? Halafu watajipangaje kimkakati kama hata vikao vya ndani wanakatazwa? Watanzania ni wajinga sana. Hali halisi ya siasa za Tanzania kwa sasa kila mtu anafahamu kwamba yupo mtu mmopja tu anayetaka asikike na wengine wakae kimya. Badala ya kumlalamikia huyo ili awaache na wenzake wafanye siasa kama yeye bado tunawalalamikia waliokatazwa kufanya shughuli za siasa.
Kwa mfano mikutano ya hadhara ni haki kikatiba ila imezuiwa kwa nn hawajafungua kesi kwenye mahakama ya katiba kuhoji hili katazo? Hakuna effort yoyote ya kushinikiza amendment ya katiba ili kuwa na time huru
Sasa wewe hufanyi mikutano plus aina ya tume iliyopo 2020 unashindia wapi?

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
OSOKONI: Sasa wewe ndugu, kama hali yenyewe ndio iko hivyo kwa nini huwasaidii wapinzani kumlalamikia huyo anayewaminya wenzake? Yaani wewe unamkuta bonge la mtu amemkalia mwenzake kifuani na huyu aliyekaliwa analalamika maumivu makali, badala ya kumsema aliyekalia unamsema aliyekaliwa kifuani? Mbona hujaja na thread ya kumsema mkandamizaji wa wenzake?

Narudia swali: Upinzani ukiwa historia Tanzania ni hasara kwa nani?
 
Back
Top Bottom