JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
Tupe takwimu tuhakikishe angalau vituo viwili, vinginevyo hii ni tetesi tu.
haya ninachokiona hapa matokeo katika vituo kadhaa vya mjini igunga yanaonyesha chadema inaongoza.na hali ni shwari sasa ila viongozi wengi wa ccm wameondoka hapa mjini igunga kila ukupita mitaani sas ni chadema mwendo mdundo. Mjini ndio kuna wapiga kura wengi hapa igunga. Ccm wamekimbia mji hoteliwaliofikia vigogo ipo kimya. Kwa sas nasubiri vituo vya vijijini.