Matokeo ya Uchaguzi Igunga: Radio One

Status
Not open for further replies.
siwezi kubisha wala kukubali kwa sababu hata mimi sina matokeo tofauti na yale ya nape aliyoweka hapa.hapa ndo utaona umuhimu wa chadmatv.hadi sasa hivi hamna tv station yoyote inayoonyesha picha za igunga.na wanaotupa habari za kule ni wakuja.hawajawa na wanajf kule igunga.lakini ingekua arusha au mwanza tungekuwa tushapata matokeo.acha watu wajiliwaze.mia
 
Hivi NEC inadhani hizi bado zama zasimu za kukoroga na posta ya kupeleka kwa treni, watu wana full details ndo maana wanasema,ucheleweshaji huu nitasema daima unatengeneza suspecious situation ambaya si ya lazima sana, watangaze matokeo ili wanainchi wa igunga waendelee na shughuli za kujiletea maendeleo yao,CCM bila uchakachuaji HAIWEZEKANI
 
hahahaa huyu wa cuf ndo matapishi kabisa yaani kura zake hata kwenye calculator zinakataa kutoa percentage maana ni very scant
 
uuuuuuuuuuuuuuuuwwwiiiii! presha inanipanda na kushuka. Maumivu nilonayo yanatosha
 
Ni wazi Chadema wameshindwa kiti cha ubunge Igunga na baadhi ya viongozi wao wameshadhibitisha hilo.Sasa zinapokuja threads za aina hii ni bora Mods wakazipotezea kulinda heshima ya ili jukwaa.
 
Nikamwelewa Dr Kafumu kukataa kusaini kwa point 2.
1. alisha somo Twitter ya Zitto akikiri Chadema imeshindwa
2. FFU wamewadhalilisha tena waislamu maana katika kupiga mabomu na kumwaga maji ya washa washa vijana kadhaa wa kiislamu wamepoteza baraghashia zao na wanawake wachache wa kiislamu waliokuwa wanapita karibu wamefunuliwa hijabb na hivyo kudhalilishwa kidini. Astaghafululah!!! Takbiri, Takbir!!!!

Daah!! ha ha ha ha ha ha ah!!
 
una uhakika mkuu?

anataka kujua tutaichukulia vipi thread yake. tuwe na subira wakuu. humu ndani akina NAPE wengi, mpaka inaboa. Ujue chochote unachokiandika, kinaweza kuamusha hasira na wengine presha, tuwe wavumilivu, hakuna anayetaka kushindwa uchaguzi huo
 
Nimeongea na Wa Jikoni kaniambia bado kata 1 wamalize kuheshabu kula.
CDM waongoza tofuati ya kura 10.000 kinachoendelea tawapa taarifa, Wajikoni anaendelea kuongea na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga
 
Mambo ya Uislamu na Balaa Kuu la Waislamu yamekujaje humu.Haya mambo tunayafanyia utani ila siku wadau wakisema liwalo na liwe tutakimbiana
 
mnasema viongozi wa chadema wamethibitisha mbona hiyo press conference hatujaiona? hawawezi kuthibitisha mpaka matokeo rasmi yatangazwe. mbona jana nape alikuja na matokeo hapa mkasema ya ukweli mambo yalipomuwia magumu akakataa kuwa yeye hajayaweka na hayajui labda mtu amehack akaunti yake.
 
Tusbirini wakuu na wengi hawataamini kama NEC itatenda haki
 
Nimeongea na Wa Jikoni kaniambia bado kata 1 wamalize kuheshabu kula.
CDM waongoza tofuati ya kura 10.000 kinachoendelea tawapa taarifa, Wajikoni anaendelea kuongea na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga

kura si zimehesabiwa jana vituoni? Uhesabuji upi unaouzungumzia?
 
Nimeongea na Wa Jikoni kaniambia bado kata 1 wamalize kuheshabu kula.
CDM waongoza tofuati ya kura 10.000 kinachoendelea tawapa taarifa, Wajikoni anaendelea kuongea na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga


Ritz you are a joke braa!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom