Je ile Calculation ulitumia CIF au Ulitumia FOBMtihani nimeufanya, tuliopata kuanzia 70 sidhani kama tunafika hata 40 kati ya watu 14,000. Sijafuatilia sana sababu namba yangu ipo page ya kwanza, pages nyingine mia ngapi sina hakika wameita kuanzia alama zipi. Ila naambiwa kuna zero kama kumi hivi.
Marks nilizojua nitapata nimekosa mbili kuzifikisha, nina historia ya kuwa accurate kukadiria marks nitakazopata kama swali sina hakika sihesabii, kama sijui sijui, sina kubahatisha na nikitoka nahakiki na wale top cream kichwani.
Tuliopata alama za juu tunakwambia mtihani ulikuwa na mitego, uliyepata chache unadai mitego haikuwepo.
Na mtihani wa Customs haukuvuja, sijaona aliyekuwa anastahili akilalamika. Wanaolalamika ni wale hata tukijadili kitu hawajui, solvings wanakariri badala waelewe, wanalalamikia kutokuwa na calculation swali nyanya lile kuzidisha % za mamilioni yaliyo kamilifu. Mtu % ya 105,000,000 analalamika hana calculator.
Nakumbuka nilipata namba flani nikazidisha na Usd pale nikapat CIFCIF ya lile swali uliipataje. Tuanzie hapo, usinipe actual numbers. Nipe njia uliyotumia kuipata CIF
YeahKweli kabisa
Daah we acha tuu!! Tunazid kupata uchungAisee!!
Tume appeal, ngoja tusubirAppeal vp
Muipeleke sehem husika
Daah mwanangu umetisha! Kama ndo jibu lake baaasi..Vat nilipata 23.7m kama sikosei mkuu.
Kuna sijui nini kile kingine nilipata 95m.
Hongera ata sikumbuki, ila Kuna figure ya 8M ndo nahisi kukumbukaVAT nilipata around 20M na total taxes nilipata around 100M ila nilionyesha njia clear pembeni. Hilo swali lilikuwa na majibu tofauti sababu ya kutokuwa na calculator ukikaribisha mwanzoni baadae unapata majibu tofauti, ukitaka kufanya to decimal point huna muda, ndio maana wengi tukatofautiana.
Waliofanya mtihani ni 14,000. Marks zote ni 100. Tengeneza probability ni namna gani watu hawatakiwi kupata marks zinazofanana.Huo mgawanyo uangalie!! Kadili watu wanavyofeli ndo wanazidi kufanana
CIF nakumbuka haikuwepo ilibidi utumie FOB na I & F kuipata. Aliyeweka FOB kama CIF alikosaJe ile Calculation ulitumia CIF au Ulitumia FOB
Randomly observation! Lakn you may dig deep! Unaweza gundua kitu!! Mfano maks zetu ni based on 5 lakn utakuta mtu kapata 42.4..Observation yako ipo vizuri sana mkuu.
Poa mkali, lakn wakati mwingne hata wa mwisho anakuwaga mmoja tyuWaliofanya mtihani ni 14,000. Marks zote ni 100. Tengeneza probability ni namna gani watu hawatakiwi kupata marks zinazofanana.
Na logic ya kawaida kabisa, kadri unavyopanda hierarchy watu wanafanana au kutofautiana?
I expect matajiri watofautiane sababu ni wachache na wana options, Bakhresa anaweza kuwa na yatch na Mo Dewji akawa na private jet. Ila maskini wa Yombo Dovya na Tandale wakafanana kwenye maisha: ndala, visimu vya tochi, nguo zilizochanika, wote wanakula mihogo, hawajawahi kwenda vacation, hawajawahi nunua hisa wala kumiliki real estate.
Vilevile kwenye matokeo, ni kawaida 100 kukosa, 90+ kuwa mbili, 80+ kuwa 5, 70+ kuwa 10 ila 40+ kuwa hata 50. Hii ni probability
Hatuna Jinsi, ila tunawaambia ukweli wajue tunajuaPiga moyo konde haya yatapita
Kuna wakati lazima niseme ukweli!! Pale hakukuwa na FOB! Ulitakiwa utumie CIF..CIF nakumbuka haikuwepo ilibidi utumie FOB na I & F kuipata. Aliyeweka FOB kama CIF alikosa
Na bado sijaitwa oralDaah mwanangu umetisha! Kama ndo jibu lake baaasi..
Mi nilipata figure ile sijui ni 8000000
Yaani haya mambo yalikuwepo,yapo na yatakuwepo huko mbeleniHatuna Jinsi, ila tunawaambia ukweli wajue tunajua
Wenye zero wako 9 kama sio 10.Poa mkali, lakn wakati mwingne hata wa mwisho anakuwaga mmoja tyu