Si walitoa muda wa ku appeal?Hakuna namna ya mtu kuona haki yako!
Ila wewee...!Daah watu wanaojua umefanya interview TRA kumbe wengi hivi? Maan najikuta naulizwa matokeo tuu kila saaa daaah!
Tena hii nilijiamini kwakuwa nikajua unasahihishwa na NBAA, nikajua hamna longo longo...
Sasa napata wasi wasi na CPA za watu Maofisini huko
Hakuna. Kila kitu kiko shwari.Kuikomboa aje sasa! Kwan Kuna ukoloni Mzee
Pole sana ndg, rudi kupambania NOREFORMSNOELECTION ili kustablize mfumo.Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point
2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible
3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.
Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo
4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.
Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.
Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea
Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Acha kabisa ndio ujue kwamba hizo marks tunazoziona sio marks sahihi, bali ni marks za makadirio tu.Oya hii imenitokea na mm alieniangaliazia kapata 75.5 mm kipanga wake nimepata 67.5π
Uki appeal watakusahihishia upya!! Maana wamesema tuma malalamiko yakoSi walitoa muda wa ku appeal?
Jaribu
Daah mi kikubwa wanisahihishie vizur! Hata Kama watatutema huko kweny oral lakin angalau wanisahihishie tu vzuri!!!Poleni watoto wa hohehahe. Hizo nafasi zina wenyewe.
Tumeumia sana! Japo tunajifariji tuu!! Lakn they disappointed usIla wewee...!
Pole
Kuikomboa Tanzania na Africa tunahitaji zaid ya hizi siasa kaka!Hakuna. Kila kitu kiko shwari.
Huu mfumo unatawala Africa mzima!! Si hivyo mnavyoona kwa macho ya kimesenari!Pole sana ndg, rudi kupambania NOREFORMSNOELECTION ili kustablize mfumo.
Kwann sisi wengi ndo hawatukadiliagi vzur wengine mapema tu wanakadiriwa daahAcha kabisa ndio ujue kwamba hizo marks tunazoziona sio marks sahihi, bali ni marks za makadirio tu.
Mi hata sijawaelewa mpka sasahivi!!Ile ya customs nilikua na uhakika wa kupata 80+ but nimewekewa 60.imenishangaza
Mligelezeanaje na maswali yalichanganywa?Mimi kilichoniacha mdomo wazi mpaka sasa hivi..
Ni kwamba jamaa aliyekuwa ananiangalizia mimi karibu kila swali amefaulu tena kapata 53
Wakati huo mimi hapa kipanga wake nimapata alama 45.
Hii inaleta maswali kama kweli huu mtihani walisahihisha.
Hapana, zile meza zilikuwa Kama za Kamati ya Harusi, so ni rahis kuangaliziana..Mligelezeanaje na maswali yalichanganywa?
ila Daaah! Hizo kauli zinaumiza hizo πTRA huko wanapata ajira kwa njia ya vimemo tyuuh, nyie wengine ni kusindikiza tyuuh. Lol
Ukweli lazima usemwee, ππππila Daaah! Hizo kauli zinaumiza hizo π