Matokeo ya TRA ya written ni kama A.I generated

Way back nilikuwa nakimbiza natembeza perfume hapo kariakoo naunga unga viada ada! Niliacha kipnd narudi school form five

Niliemwachia nikakuta kala mtaji woote na Hana hata mia.

Kwakua shule ilinibana ikabidi niendelee kusoma tuu maana nilikuwa nasomea mikoani huko
Duh hongera na pole sana bruh, usife moyo ipo njia na wakati utakula matunda ya kazi yako
 
Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point

2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible

3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.

Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo

4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.

Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.

Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea

Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Sina imani na wasahihishaji wa ule mtihani...paper haikuwa ngumu ila matokeo sasa.
 
Kariakoo nilikuwepo zaman sana! Kwasasa nipo mtaani tuu ata sielewi,

TRA wameshachakata kanzi data, wanazidi kunifanya nidate..

Hapa nawaz kwenda kujishikiza kweny taasisi tu za watu angalau tupate ela ya kula
Njoo hapa veta changombe nikufundishe kupika supu na chapati. Baada ya wiki tatu utakuwa umekwiva kabisa.
 
Supu Ina ufundi wake eeeh? Mi najua nikuchemsha maji na mboga husika..

Eiza supu ya maharage
Supu ya mbogamboga
Supu ya mifupa (kongolo)
Supu ya Bamia (Mlenda)
 
Supu haipikwipikwi tu bwashee, kuna fomula maalumu za kupika kila aina ya supu.
Njoo tukupe shule
 
Hakuna namna ya mtu kuona haki yako!
Mkiambiwa no reform no election ndo kama hivyo.

Haki ni jambo la msingi sana. Linakupa amani ya moyo kama ni majuto unabaki nayo mwenyewe.

Fikiria kama uchaguzi unafanyika kwa haki wananchi wanampata kiongozi hovyo, msala unakuwa wao wenyewe.

Apptitude test ndo mpango. Hizo mnaweza fanya hata 5 kuchuja watu.

Weka kitu online kila mtu akiingia afanye na kupata scores zake anatulia. Unaiacha open kwa siku 2 tu. Ndani ya wiki mmeshapiga michujo yenu sasa mnakuja kuwakamua kwenye oral.
 
Kutokana na uchunguzi wangu mdogo kwenye PDF ya MATOKEO ya TRA, hasa kweny upande wa Custom II, Kuna vitu vimenipa maswali mengi
1. Kwa Jinsi maksi zilivyopangwa ni ngumu mtu kupata 43, au 42.4.
Kwasababu mtihani ulikuwa na maswali matatu ambayo kimsingi huwezi pata hizo maksi na majibu yalikuwa ni direct ukikosa umekosa au ukipata umepata haiwezekani ukapata hizo point

2. Watu wengi kuwa na maksi zinazofanana. Kiuhalisia nashindwa kuelewa inakuwaje watu zaid ya 300 wote wamepata 45.5 au 41
Hapa walimu mnisaidie inawezekana kweli watu kuwa wanafanana fanana kweny maksi
Yaani unakuta listi ndefu ndefu wote mmefanana zaidi ya watu 300. Hilo kwangu ni impossible

3. Range ya watu kufanana maksi inaenda inazid kulingana na kuwa amechaguliwa au hapana.
Mfano: watu ambao wanamaksi za juu kweny hio PDF wanaofanana maksi ni wachache, unaweza Kuta hawazidi kadhaa, lakin wanaofanana maksi wanazidi kuongezeka kulingana na kutochaguliwa kwao.

Utakuta ambao hawajachaguliwa watu zaid ya 258, au mpaka watu 300 wote wamepata 41 na hio interval inazid ongezeka kadili watu wanavyokuwa hawajachaguliwa na maksi zao kuwa ndogo

4. ili kila mtu aridhike ingekuwa heri mchakato huu ukawa computarize yaani watu wajibie maswali mtandaoni na maksi zake azipatie palepale, mchakato huu uwe huru na uwazi.

Au wangemtumia kila mtu PDF ya mtihani wake alioufanya ili mtu asiwe na maswali na wao. Hii ingesaidia Kama mtu kanyimwa maksi makusudi au ni uzembe wake.

Sasa wakifanya kila kitu Gizani Kuna maana gani ya kuwepo na mtihani ambao unapewa maksi uliopata na sio kujua wapi ulipokosea

Nna uhakika hata alietunga huo mtihani wa custom officer II, angeenda aufanye kimya kimya matokeo yake angekuwa huko kwenye 42.4
Kawaida tu. Mbona hata interview za utumishi mfano za walimu ulikuwa unakuta zaidi ya page 50 candidates wote wamepata alama 60. Mfano tafuta matokeo ya walimu wa kiswahili bachelor
 
Back
Top Bottom