MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,208
- 3,122
nakubalia na wewe kuna moja hv kwanza ana marks 73 ukiangalia kwa jicho la tatu wa marks zote hadi wa mwisho unapata majibu yako.Lkn marks zimekuja za ajabu yaweza kua walistandardize
kwasababu walinyimwa ushahidiKwann hamsemi kwa kupaza sauti! Mnasemea chini ya uvungu wa Kitanda
Duh hii ratiba umeitoa wapi mkuu angalia kwenye website yaoLabda Kama wamebadilisha! Lakn waliandika tarehe 07 mpaka tareh 09
Kayombo si kampa penatikwasababu walinyimwa ushahidi
Bora iwe online tuu! Si utumishi Wala huku TRAnakubalia na wewe kuna moja hv kwanza ana marks 73 ukiangalia kwa jicho la tatu wa marks zote hadi wa mwisho unapata majibu yako.
Nilitoa hapa kweny Tangazo lao la mwanzoDuh hii ratiba umeitoa wapi mkuu angalia kwenye website yao
Hilo bango la mwaka 70 mkuu..Nilitoa hapa kweny Tangazo lao la mwanzo
email of confirmation nimepokea leo...(ipo dated jana) ya kwenda nayo oral
Amna kiongozi...
Heri ikawe kwenu wakuu..Hilo bango la mwaka 70 mkuu..
ndo mana hata matokeo wamesema hapo tar 25 april ( unajua hawakutoa na wakatangaza tar 26-wakatoa usiku saa sita na dak 1 -ilikuwa tar 27 basi kabisa kama unaenda kwa proper date record)
pili pitia tovuti yao wametoa mkeka mda tu..tarehe za practical etc naona zipo sawa hapo...wengine tunajifua kwenye tareh 12/13/14 uko APC Mbweni,,,(kuanzia jana tar 7 na leo tar 8-wametuma tu email of confirmation ya kwenda nayo oral kwa phase ya pili )
tuombee kheri..over.....
Kapambne kiongozi,email of confirmation nimepokea leo...(ipo dated jana) ya kwenda nayo oral
Nasikia appeals kuna waliofanikiwa kuitwaKapambne kiongozi,
Kumbuka kuvaa tai (ndo code ya tra)
Daah hapo ni backup tu.. mtu ukiwa nayo unatoboaNasikia appeals kuna waliofanikiwa kuitwa
Aisee walio appeal hongera zao watu wameitwa oral jamani....tuwe tunapambana had tone la mwsho viongoziDaah hapo ni backup tu.. mtu ukiwa nayo unatoboa
Kuna ambao wameshaitwa?Aisee walio appeal hongera zao watu wameitwa oral jamani....tuwe tunapambana had tone la mwsho viongozi
Aisee walio appeal hongera zao watu wameitwa oral jamani....tuwe tunapambana had tone la mwsho viongozi
NdioKuna ambao wameshaitwa?
Kweli kabisa.. japo mi kweny appeal hawajani consider chochoteAisee walio appeal hongera zao watu wameitwa oral jamani....tuwe tunapambana had tone la mwsho viongozi
Cjajua labda kiongoz ana updateKuna ambao wameshaitwa?