Matokeo ya sensa: Karatu DC uwiano wa wanawake kwa wanaume (sex ratio ) 100/107

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
491
764
Takwimu za sensa zinaonesha Karatu ndio halmashauri yenye uwiano mkubwa wa wanawake dhidi ya wanaume kuliko kwingineko.

Yaani wanaume ni wengi kuliko wanawake.

Sex ratio= kati ya wanawake 100 Kuna wanaume 107.

Shida nini huko Karatu?
 
Back
Top Bottom