Matokeo ya NBAA yametoka

MaToKeo Ni MazUri nImeOna leo. TUmShuKurU Mungu SaNa. KamA yA kWako uJayaOna kUwa Na iMani kESho yataKuwa kwEne site.

na wewe unatarajia kufaulu huo mtihani kweli kama tu hata kuandika hujui?
 
Hongereni sana mlio pasua. Karibuni pia kwenye fani, kuipata ni jambo moja kubwa ni kuifanyia kazi kwa faida yako, familia yako na taifa lako. Mtaanza kama Graduate Accountants for 3yrs (GA), then ACPA (Associate Certified Public Accountant) for at least 3yrs then FCPA (Fellow Certified Public Account) though it is not outomatic .. Vigezo na masharti kuzingatiwa ...
 
Intermediate stage wameanguka vibaya sana, final stage wao wamepiga fresh cheers to em' all
 
Mambo ya nbaa hayo
 

Attachments

  • 1421332914160.jpg
    41.8 KB · Views: 366
Jamani mwenye taarifa yoyote kuhusu matokeo ya bodi ya ya uhasibu naomba atujuze jaman tuone tulichovuna .

asante.

Matokeo Yametoka Leo rafiki....
 
WAdau Wa JukWaa naPendA kUwAkarIbiSha mmNipe Hongerq kwakuaaa niMefaNikiwa kUpaTa C.P.A bAadAya maTokeOyaLeo kuTokA viZuri.
Napokea zawadi kupitia TiGopEsa na mPesa. Ni pM kAma UnamoYo wAkuNiponGeza.

Hongera rafiki yangu, nami Leo ni mmoja waliopata CPA kwa Matokeo yaliyotoka Leo....
 
Napenda kuwataarifu kuwa orodha ya wanafunzi waliofaulu CPA imebandikwa kwenye mbao za matangazo NBAA na matokeo kamili yatakuwa yamewekwa kwenye web kufikia kesho asubuhi.Hongereni kwa mliofaulu na wale ambao hamjafaulu msikate tamaa.

Nawasilisha

Ahsante ndugu, nimeona kwenye web nami ni mmoja wao waliopata CPA
 
Thanks God kwa kumaliza hii shule ya CPA....now sasa naweza kujiita na me ni Accountant(CPA T).
 
Niko nje ya Dar kwa sasa ila marries home jmosi, na jpili tutakuwa na tafrija ndogo nyumbani, karibu sana Honey Faith....

Halafu mie sitaniwagi atiii???Jumapili lazima nifike kwako.......🙁
 
Last edited by a moderator:
Jamani alieweza kudownload matokeo ya intermediate level please upload the file maana sasa hivi inakataa kudownload from NBAA website
 
Jamani alieweza kudownload matokeo ya intermediate level please upload the file maana sasa hivi inakataa kudownload from NBAA website

Intermediate inazngua Mkuu, sidhani kama kuna mtu ameyaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…