Matokeo ya NACTE yametoka?

Mbona mimi hata ku-log in inagoma nacte wameset vipi server zao Jamani.
 
Vijana, wakati unaandika thread yako hakikisha inamaanisha unachotaka kuandika sawa, kumbuka kuna vijana wamefanya mitihani ya nacte sasa unaweza sababisha taaruki kidogo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…