Amah kweli MICHEPUKO sio dili.
Amechanwa viwembe na mwenye mume kwa kosa la kuishi mpaka kazaa na mumewe...
Kiukweli hawa wanawake wote wana makosa..huyu kuchukua hatua mikononi na huyu kuchukua mme wa mtu...kazi ipo wapenda michepuko ongezi maujanja ya kujificha.
Watu wanahasira zao na nina hisi angekua na kisu angemchoma hadi kumuua.
Mh bahat yake mbaya binafs con sababu ya kumdhuru binadam mwenzangu mpk kazaa inamaana mwanaume ndo alikubali yy atakuwa amejiweka na unaweza kumpiga na bd wakawa wote ukapata aibu tu kumbe nikutafuta njia ya busara kuyatatua
aiseeeeeeeee pole yake sana bidada