Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,897
- 2,397
Na hilo Tinga Tinga la CCM limeangushwa, basi sasa naanza kuamini Uchaguzi mwaka huu utashangaza wengi.
Done mkuu... :biggrin:Invisible,
Tafadhali kusanya thread zote hapa maana inakera. Asante
Malecela (Mtera)
Mkuu, ndo hivyo... Kabwagwa vibaya ha ha haBosi hapo sijakuelewa. Ina maana Malecela kashindwa Mtera?
Mkuu, ndo hivyo... Kabwagwa vibaya ha ha ha
Heheheheee.....kuanzia kesho hapatakalika hapa....Lol.....
Harison Mwakyembe anaongoza ktk vituo 50 kwa kura 4,901 George Mwakalinga 417 Elius Mwakalinga 262, Elius Mwanjala kura 227, Rhoda Mwamunyange 109 (Awali nilisema unarudiwa, hapana, zilikuwa ni taarifa zisizokamilika, nimerekebisha), vituo vilivyobaki ni vichache, ni wazi Mwakyembe atashinda!
Heheheheee.....kuanzia kesho hapatakalika hapa....Lol.....
Bosi hapo sijakuelewa. Ina maana Malecela kashindwa Mtera?
Wewe ni mchokozi sana wewe
Aliambiwa apumzike kwa Heshima Hakutaka, hili ni fundisho
Lol...naona hali ya Mwakalinga si nzuri.....maana ghafla bin vuuu tone yako imebadilika kabisa
Lakini haya ni matokeo ya kura za maoni za kuomba uteuzi. CC na NEC wanaweza kuwaruka washindi/walioongoza na wakachukua walioshika nafasi za pili na tatu. Kumbukeni yaliyomfika Aden Rage (Tabora Mjini) na Adamjee (Kawe). Jamaa walioongoza, lakini wakapigwa chini na nafasi zao kuchukuliwa na Prof. Mgombelo (Tabora Mjini) na Rita Mlaki (Kawe).
Kwa hiyo lolote linaweza kutokea na hasa kwa kutumia kivuli cha waliohusishwa na tuhuma za rushwa.