Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,250
- 113,653
Mwakalinga je? Kwishnei au?
Mwakalinga je? Kwishnei au?
Wamekula kwa Mwakalinga wame KURA kwa Mwakyembe
Uko wapi Afande Samwel?
Hii nimeipenda,jamaa alisema,Tz hakuna mabwege tena,yaani kuanzia Kyela hakuna mabwege tena. Mtu akija na hela zake tunalamba halafu kura tunampa tunayemwamini. Majimbo mengi yakifanya hivi siku ya uchaguzi itakuwa poa kweli. CCM siwaamini,wanaweza kupiga tikitaka na tukasikia dr chali.:A S shade:
CCM siwaamini, wanaweza kupiga tikitaka na tukasikia dr chali.:A S shade:
Yule kuruta yuko wapi aje athibitishe hizi taarifa plse..
Yule kuruta yuko wapi aje athibitishe hizi taarifa plse..
CCM hawana jeuri hiyo kwa sasa, sana sana utashangaa ukiona CC na NEC inapitisha majina ya "wapiganaji" watakaoshika nafasi ya pili au tatu kabisa.
Zaidi ya wale wanaojipambanua kwamba ni wapiganaji, CCM hakuna ambaye anaweza kufungua mdomo kwamba anapambana na ufisadi japo hata hao wapiganaji wanapambana kisanii. Kikwete hawezi kukubali ku-risk apunguze kura nyingi kwa kuwatema maana hao ndio watamuokoa na atawatumia kama mtaji kujibu hoja za ufisadi.
anajuta kutosoma nyakati
Yule kuruta yuko wapi aje athibitishe hizi taarifa plse..
Hawezi kuja sasa hivi,si ajabu akabadili jina.