Matokeo ya kufuga kitambi

Bwashe kuna watu wana miili mikubwa , hawawezi kuwa leaner, unakuta wanakula chakula sawa na sisi vimbau mbau mwiko wa pilau lakini wanajaa.

Nafikiri tunatofautina metabolism.
Maumbile genetically yanatofautina mno , mfano mimi nina mifupa mikubwa mtu ambae ningejiachia kidogo ningekua giant, ila mazoezi yananifanya niikatae asili yangu
 
Maumbile genetically yanatofautina mno , mfano mimi nina mifupa mikubwa mtu ambae ningejiachia kidogo ningekua giant, ila mazoezi yananifanya niikatae asili yangu
Una control chakula au unapiga tizi? Na unakula ngano … unawezaje kucontroll mwili.

Kuna watu wana kula kidogo sana ila miili hiyooo!!
 
Naunga mkono hoja. Mke wangu huwa ananiona nina six packs lakini Mimi huwa najiona nina kijitambi,na lazima king'oke!😀
 
Bwashe kuna watu wana miili mikubwa , hawawezi kuwa leaner, unakuta wanakula chakula sawa na sisi vimbau mbau mwiko wa pilau lakini wanajaa.

Nafikiri tunatofautina metabolism.
Mwili mkubwa ni tofauti na kitambi. Unamjua LeBron James? Mwili nyumba lakini hana kitambi. Kuna watu wana vimwili vidogo ila kitambi kama papai!
 
Miaka ya 80 kipindi tunakua jamii ilikuwa na watu wembamba na wakati, Ila sku hz ni mipipa tuu
Wewe umekua miaka ya 80? Enzi zile njaa ilikuwa kali! Ugali wa njano tena lwa foleni. Sasa hivi misosi ya kumwaga ma junk food kibao mara Edson chips sijui nani biriani mara KFC yaani mitakataka kila angle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…