AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,655
- 21,457
Oya umesemaje km nini box? Punguzeni dharauSijaikuta hapa; lifestyle ya kula mdudu, makange, mchemsho, viepe, nyama choma deile...bila tizi lazima mtu apate ki friji...
Mamama ndo ile unakuta yupo kama box 📦 .... hata shingo haionekani
Ase wame edit uzi Sijapenda
Aaah bwana weeee hayo madongo yoote siyo ww uliyeyaleta ndugu.Ase wame edit uzi Sijapenda
Picha ya kibiologia kabisa
Kitumbo mfuko , pika tizi punguza local bia na supu za mchemsho bwashee
Mazoezi yanahitaji ujitoe kikamilifu mno , yawe kama mlo kila siku, ukizoea mwili utahitaji wenyewe tuHahaha umenisema mimi...
Niliingia keto diet, napungua kilo mbili zinaongezeka tatu..😆..mwishoe nikaamua kuridhika na kitambi changu lol
Sikumbuki figures ila inasemekana 80% ya fat people wanaolose weight, kilo zinarudi baada ya muda kidogo..the struggle is real!
Imenishangaza sana alikua kafuta na uzi kabisa sijui imekuaje karudisha
Kwa hiyo kitambi ndiyo uanaume? Acha udwanzi kapige tiziWewe kama umekula safuleti na Mwili wako haurithiki usitochoshe apa, Mwanaume unakuwaje na Flat tummy aisee
Punguza ulaji wa junk foodsNaomba unisamehe daktari mbona nipo kwenye mazoezi na diet ,najua kuwa sio sawa najitahidi kuwa sawa ndugu
Na mara nyingi wanalombewaKitambi ndo ugonjwa wa dada zako mjini
Inasikitisha Sana.Kitambi ni uzembe , kitambi sio sifa nzuri , ni ishara ya ulafi na uzembe wa hali juu mno, juu ya afya yako mwenyewe, bora ukose hata mia ila usiwe na kitambi tu .
Sasa imefika hatua mtu ananenepa mpaka mapaja , unakuta akisimama mapaja yanashikana
Unanenepa vipi mpaka unakua na shingo kama ya tembo na mashavu kama kiboko?
YaaaniBaby wangu anasema anakienda watu wengine kinawahusu nini?