Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Wakuu natumaini nyote ni wazima wengi wetu kuna vijana wetu wamemaliza kidato cha nne mwaka Jana imekuwa kila mtu anauliza hivi matokeo yatatoka lini?

vijana wengi wamekuwa na hamu sana na haya matokeo wajue nini cha kufanya baada ya kuyapata , kama kuna vijana humu waliofanya mtihani mwaka Jana punguzeni wasiwasi kama mlifanya vyema tegemeeni mema msiwe na hofu, na logoff
 
Unatupa presha tu! Unaongeza idadi ya uzi bila manufaa!
 
Vijana wasihofu matokeo yatakuwa mazuri tu maana kila mwaka ufaulu huwa unaongezeka kwa 2% ukilinganisha na mwaka uliopita.
 
Vijana wasihofu matokeo yatakuwa mazuri tu maana kila mwaka ufaulu huwa unaongezeka kwa 2% ukilinganisha na mwaka uliopita.
kwa miaka hamsini ufaulu utakuwa 100%....just kiddin
 
Samahan jaman mdogo wangu ananisumbua kuhusu matokeo ya kidato cha nne na mm nipo bze na kazi ata sijui yanatoka lini mwenye fununu kuhusu matokeo yanaweza kutoka lini mana wazir wetu huyu anabadilisha mambo kila kukicha msaada wenu nijue ni lini yanatoka
 
Kwa wale waliosoma michepuo ya Sayansi naona watafaulu vizuri sababu Wizara na Serikali ya awamu imejikita zaidi kutafuta vipawa vya sayansi ila wale wa Bizness na Arts mjiandae kwa lolote.
 
Back
Top Bottom