Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Mliambiwa msubiri mahakama itatangaza hayo matokeo.

Unaishi karibu na mahakama gani ? nina marafiki wengi sana ni mahakimu huenda wakatia wepesi.
 
Yaani matokeo ya Form Four unaulizia huku, nina mashaka na upeo wako wa kufikiri.
Watu wengine bhana. Sasa ulitaka akaulize sokoni, au kwenye daladala? Na hivi hujui kama huku kuna wengi tu wanahusika na mambo hayo na wanaweza kukupa fununu. Pia kumbuka kama wewe hujui, basi wapo wanaojua. Hata mimi namuunga mkono na ni mwenye kufwatilia majibu ya wadau.
 
Yan kuna watu wapo humu wao kaz kupinga tu wakat ata hajui matumiz ya majukwaa haya duu elimu itusaidie yan huyo jama hazimtosh labda anataka aende kuuliza kanisan
 
Najua humu kuna wakuu tetesi za matokeo kidato cha nne lazima mjue kwa anaejua yatatoka lini maana mambo yanabadirika kuna dogo ananisumbua utafikili mi ndo natoa matokeo kwa anaejua bas aniambie
 
Punguza pressure mdogo wangu. Utafaulu tu. Kuna watu humu. Kama unaroho ndogo unaweza jikuta upo ICU kwa maneno yenu
 
Kama sikosei hii ni post ya tano kwa mwaka, kudai matokeo ya CSEE 2016.

Ili kupunguza idadi ya nyuzi zisizokuwa na tija, ni heri swali lako ufwatilie kwenye thread zilizopita.

Si kila mtu apost!
 
Kama sikosei hii ni post ya tano kwa mwaka, kudai matokeo ya CSEE 2016.

Ili kupunguza idadi ya nyuzi zisizokuwa na tija, ni heri swali lako ufwatilie kwenye thread zilizopita.

Si kila mtu apost!
Ungemsaidia kwa kuweka link ya hizo post zingine!
 
Ni za huyu huyu Dogo kama sikosei.... Au huenda majina yanafanana.
Nimefwatilia. Yeye peke yake huu ni uzi wa pili yenye kudai CSEE 2016. Kuwa na subira, hadi mimi hayo matokeo yananihusu directly. Ila subira ni muhimu, japo nilisikia tetesi kuwa ni tar28JAN.
 
mwaka huu kazi ipo yaani watu wana kiherehere sijui mitihan ilivuja ndio wanataka wapate muda wa kujisifu ila watatoa maana shule mpaka mwez wa 7 ata wakitoa m wezi wa 5 hakuna Tatizo
 
mwaka huu kazi ipo yaani watu wana kiherehere sijui mitihan ilivuja ndio wanataka wapate muda wa kujisifu ila watatoa maana shule mpaka mwez wa 7 ata wakitoa m wezi wa 5 hakuna Tatizo
Duu mwez wa 7 kwel jf kuna furaisha watu sio wa sport sport
 
Back
Top Bottom