Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Du! Nikiona link ya matokeo ya CSEE 2016, mapigo ya moyo yakimbia kwa 4G. Ila kuna watu wawili tofauti na hawajuani, waliniambia tarehe 28 mwezi huu.

Mmoja alisema kasikia kwenye redio, na mwengine kwenye eatv kipindi cha jarida.
Hizo ndio tetesi nilizosikia mimi!
Nawasilisha..
Ni kwel na mm nimeckia hivo
 
yatoke tuuu pressure ziishe ili tufikirie mengineee.........!!![emoji122][emoji122][emoji122]
 
Subirini vijana msiwe na shida yatatoka kama mlivyofanya. Mwisho wa mwez huu
 
Tunaendelea na kuwapangia grades, tutawatangazia mwezi February mwanzoni
 
Matokeo sio ajira,hayatachelewa. Vuteni subira. Au mmeahidiwa Vitz mkifaulu?
 
Nasikia mmefeli sana. Itabidi mboostiwe kama wa Mwaka 2012.

Alafu dogo acha wenge. Matokeo yatatoka tu.
 
Back
Top Bottom