Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

Samahan jaman kama kuna mwenye ana fununu kuhusu matokeo ya kidato cha NNE mana kuna watu wanasema tareh 28 mwez huu sasa cjui kama ni kweli
Nb:jokes hazifai
Huwa yanatoka katikati ya mwezi February kila mwaka kwa mwaka huu sijajua
 
We kilaza hujui msimu wa matokeo, sijui umehitimu vp Form 4! Anyway, kawaida ni mwezi wa pili.
 
Subiri uhakiki wa oxygen uishe...then utenda mahakamani kucheki matokeo yako...baada ya hapo safar ya kuelekea segerea itaanzia hapo...all the best!!
 
Back
Top Bottom