MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

Wamefulia hasa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Shule za kata hazitamanishi hata chembe.
 
waliokabidhiwa wameziua ili zao walizoanzisha binafsi zipate wateja!!!!!!!!!!!!! ole wetu walala hoi

Nifumbue macho mama D, nikiangalia shule kama Msalato, Kilakala, Ashira, Jangwani kwa mfano tu, achia mbali Mzumbe, Ilboru, Minaki, Pugu, Kibaha, hali inasikitisha kwa kweli.
 
Mh haya matokeo ndio yenyewe au tusuburi mengine? mbona hawa watoto wamefeli sana? Kesho namimi naenda kufungua kesi Court of Arbitration, kuwa shule za kata tulizojenga zimetelekezwa bila huduma, walimu wala vifaa. Huenda nami nikai "DOWAN" tena Serikali
 
Kama watanzania wengi wenye ndugu ambao wamemaliza form 4. Kitu kimoja kimenishangaza sana kwanini taasisi ya serikali inaweka tangazo kwamba kama mwanafunzi anataka kuona majibu kwa njia ya simu ni lazma awe na line ya VODACOM ilI apate majibu hayo! Serikali kuweni makini hio kitu haina manufaa kwa jamii husika kwasabau mnajua kabisa kwamba watu wanatumia line tofauti.

Over and out

WAFANYAKAZI SERIKALINI KUWENI MAKINI NA MIKATABA YA KIJINGA MNAYOINGIA AMBAYO HAINA MANUFAA KWA WALENGWA.
 
kama ni keli basi tusali siku ya mwisho yaja. WANAJF tufanyeje sasa? Ni kweli maana kwenye mtandao wao hawajaweka

Kama watanzania wengi wenye ndugu ambao wamemaliza form 4. Kitu kimoja kimenishangaza sana kwanini taasisi ya serikali inaweka tangazo kwamba kama mwanafunzi anataka kuona majibu kwa njia ya simu ni lazma awe na line ya VODACOM ilI apate majibu hayo! Serikali kuweni makini hio kitu haina manufaa kwa jamii husika kwasabau mnajua kabisa kwamba watu wanatumia line tofauti.

Over and out

WAFANYAKAZI SERIKALINI KUWENI MAKINI NA MIKATABA YA KIJINGA MNAYOINGIA AMBAYO HAINA MANUFAA KWA WALENGWA.
 
Kama watanzania wengi wenye ndugu ambao wamemaliza form 4. Kitu kimoja kimenishangaza sana kwanini taasisi ya serikali inaweka tangazo kwamba kama mwanafunzi anataka kuona majibu kwa njia ya simu ni lazma awe na line ya VODACOM ilI apate majibu hayo! Serikali kuweni makini hio kitu haina manufaa kwa jamii husika kwasabau mnajua kabisa kwamba watu wanatumia line tofauti.

Over and out

WAFANYAKAZI SERIKALINI KUWENI MAKINI NA MIKATABA YA KIJINGA MNAYOINGIA AMBAYO HAINA MANUFAA KWA WALENGWA.

RA ana share VODA, kwa hiyo waliongia mkataba ni wanafiki wanajipendekeza
 
Umenena jambo ambalo kwa siku nyingi linanikera sana. Naona kwamba kuna watu kazi yao ni kupanga mipango ya kuwamaliza tu Watanzania. Yaani mwanafunzi anakamuliwa shilingi 20000/= Halafu bajeti inasema trilioni moja kwenye elimu. Ukitaka kuona matokeo yako utoe fedha. Huu ni unyonyaji wa wazi kabisa, Watanzania tunadharauliwa sana.

Tukumbuke Dr Mwl Nyerere alisema, "Mtu anayekuheshimu, akikwambia kitu cha kipumbavu, halafu ukakubali anakudharau." Pia alisema, "Unamwonesha mtu dhahabu, halafu yeye anakuonesha kichupa chenye rangi ya dhahabu, halafu anasema, 'Hii ya kwako siyo dhahabu, lete hiyo nikupe hii ya kwangu,' unampa halafu unaanza kukenuka kama Zuzu ni ujinga mkubwa."

Maneno haya yaliyosemwa na Dr Mwl Nyerere ndo msingi unaotumika kuwapatia kula mafisadi. Wanaelewa we are not rational. We don't integrate things, we think upside down. Hata kama wakijenga illogical premises sisi tutakubali tu.

Jamani basi tuwe na akili. Mara watoe matokeo kama siri, mara wachelewe kutoa matokeo, mara mitihani iibiwe, nk....... Yote haya hayatufanyi tuamke?
 
Back
Top Bottom