Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Jamani nawezaje kupata summary statistics ya matokeo yote? yaani shule gani zinaoongoza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaka nenda wesite ya moe..........WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE:::::::::
I'm afraid to say the same hata maeneo zinakotoka hizo shule ni yale yale ya kofia na tshet.Nina uhakika hizo shule kumi za mwisho zitakuwa za ndugu zangu wa nusu kwa nusu! Mniwie radhi ndg zangu siwatukani ila ndo ukweli wenyewe...mbaya zaidi nyingi ya shule hizo hapo juu zilizofanya vizuri ni za Wakatoliki!?:embarrassed:
at least FEZA Boys wametutoa tongotongo kidogo na kusafisha jina kwamba hata wale wenzangu wa pasu kwa pasu tunaweza!I'm afraid to say the same hata maeneo zinakotoka hizo shule ni yale yale ya kofia na tshet.
Kwani Feza Boyz ni ya nani?My take: Mtanisamehe mbona sioni shule za ndugu zetu na wanafunzi wao wakiongoza au ile nusu kwa nusu hai apply kwenye uwezo wa elimu hadi kwenye vyeo, naogopa wasije kuanza kulalamika kuwa aliyetangaza matokeo kapendelea.